Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
poleni wafiwaKwasasa tunawaza misiba ya mfululizo hebu tupumzishe na siasa zako mkuu
Uamuzi ni wakeWalau asubirie Bunge livunjwe, achukue mafao yake halafu achague cha kufanya baada ya hapo au hata pa kwenda. Ila siyo na yeye afanye mambo ya kitoto kama wale wengine, huku akiwa ni mtu mwenye staha zake kwenye jamii.
Hafadhali hata Mbowe ana Sacco's.....wewe una nini mkuu....
.Kwasasa tunawaza misiba ya mfululizo hebu tupumzishe na siasa zako mkuu
Poleni wafiwa
Jidanganye msingepanga kumuua lisu labda tungesahau lakini kumpoteza Ben saanane ni mbaya zaidi kwetu hamjui tu.
Selasini anatembelea nyota ya Masumbuko Lamwai!Hii ni kwa sababu hayumo kwenye orodha ya watia nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo iliyowasilishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , kama utaratibu wa Chadema unavyoelekeza.
Chadema iliwaelekeza wanachama wake wenye lengo la kugombea udiwani au ubunge kujaza fomu maalum ya kutia nia ya kugombea na kuiwasilisha kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , Selasini na Mzee Lwakatare hawakujaza fomu hizi huku Lwaks akitangaza kustaafu .
Uamuzi utakuwaje wake wakati sultani na nwenyekiti wenu wa maisha ameshamtenga kwenye group la whatsp!?Uamuzi ni wake
Chadema watabaki wasiojielewa tu
Amekasirika kwasababu hajaungwa kwenye WhatsApp group la wabunge wa ChademaHii ni kwa sababu hayumo kwenye orodha ya watia nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo iliyowasilishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , kama utaratibu wa Chadema unavyoelekeza.
Chadema iliwaelekeza wanachama wake wenye lengo la kugombea udiwani au ubunge kujaza fomu maalum ya kutia nia ya kugombea na kuiwasilisha kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , Selasini na Mzee Lwakatare hawakujaza fomu hizi huku Lwaks akitangaza kustaafu .
Chadema watabaki wasiojielewa tu
Duh !Amekasirika kwasababu hajaungwa kwenye WhatsApp group la wabunge wa Chadema