Joseph shamba vengu wa orijino komedi

Huyu Jamaa nimemuona maeneo ya Msasani jirani na kidogo na Kanisa la kilutheri, inasemekana ndio anaishi kwa kujishkiza kwa rafiki zake, hali niliyo muona nayo ni mbaya sana, ni mlevi wa kupindukia na nadhani anahitaji msaada mkubwa.
 
Nilimuona kwenye Ze comedy ya weeke iliyopita labda amejirekebisha
 
mwenzetu ndo huyo ameisha mwili wote
 
nimemuona kwenye gazeti la jana amelazwa muhimbil hospital ana rais wetu JK alipita kumpa pole naona yuko kwenye oxygen sijui anaumwa nini??
 
Alikuwa mgonjwa kipindi flani tena alilazwa icu sina update km alipona au anaendeleaje
 
mwenzetu ndo huyo ameisha mwili wote

Huyu Dongo alikua akimuigiza Mrema ugonjwa wake wa kisukari, kwa kujipaka mabaka usoni.
Assume Mrema amuigize sasa afu yeye aone live kwenye TV atajisikiaje?

Ivi Mrema angekua baba yake mzazi na anasumbuliwa vile na kisukari,,huyu dogo angemfanyia dhihaka vile?

Usemi wa hujafa hujaumbika nadhani atakua ameuelewa sasa
 
Mkuu pale yeye ni vengu(usanii) na si joseph shamba(halisi) hawezi kumzihaki akiwa kama joseph lakini akiwa kama vengu ni rahisi kufanya usanii wa maigizo
 
Jaman mshikaji anaumwa mana tokea nipate taliza ni kitambo kirefu kuwa anaumwa.hata masanja mwenyewe mala kibao huwa anatoa talifa kuwa jembe lake linaumwa japo hawajatujuza anaumwa nini.pole sana Joseph na ugua pole
 
mkuu afadhali mrema anajulikana kisukari nenda muhimbili kaulize kijana hayo mabka baka aya kidevuni na mikononi ya nini/....loh manji unawaua watoto wa watu hivi hivi vipaji vinaondoka bila boardingpass jamani
 
Inaonekana huwa husomi topic zinazowekwa kwenye jamii forum. ungesoma ungejua Vengu aliko. Vengu ni Mgonjwa amelazwa Muhimbili Mwaisela ward 1. Anahitaji Maombi na sala zako kwa hali aliyokuwa nayo. ukipata wasaa na nafasi kamtembelee Muhi2.
 
Tunamuombea apone upesi...
 
mwenzetu ndo huyo ameisha mwili wote

nimemuona kwenye gazeti la jana amelazwa muhimbil hospital ana rais wetu JK alipita kumpa pole naona yuko kwenye oxygen sijui anaumwa nini??

Alikuwa mgonjwa kipindi flani tena alilazwa icu sina update km alipona au anaendeleaje

Jaman mshikaji anaumwa mana tokea nipate taliza ni kitambo kirefu kuwa anaumwa.hata masanja mwenyewe mala kibao huwa anatoa talifa kuwa jembe lake linaumwa japo hawajatujuza anaumwa nini.pole sana Joseph na ugua pole

Inaonekana huwa husomi topic zinazowekwa kwenye jamii forum. ungesoma ungejua Vengu aliko. Vengu ni Mgonjwa amelazwa Muhimbili Mwaisela ward 1. Anahitaji Maombi na sala zako kwa hali aliyokuwa nayo. ukipata wasaa na nafasi kamtembelee Muhi2.

Tatizo lake haswa nini?

Jamaa kwa kweli anaumwa. Bado yupo ICU ile ya MOI. Anapumua kwa msaada wa mashine; wamemtoboa na kumuwekea mrija wa kuvutia hewa...the guy is critically ill.
 
si huyu mtu yupo muhimbili niliona mmoja ya magazeti ya udaku akiwa anapewa pole na mzee wakaya..
 
Wakuu, takribani kama wiki moja hivi nilisoma humuhumu JF kuwa huyu Vengu yuko hoi anaumwa na kalazwa hospital ya muhimbili hata fahamu haziko sawa..na kuwa hata masanja huwa akisema jembe lake linaumwa...was it a lie?? well sijaangalia komedy long time but that was the last info i heard regarding the chap!!! I stand to be corrected!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…