Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,437
- 4,618
Kuingiliwa kinyume na maumbile:lying:
duh!! wewe mama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuingiliwa kinyume na maumbile:lying:
Kiboga ndio nn?
mwenzetu ndo huyo ameisha mwili wote
![]()
Huyu Dongo alikua akimuigiza Mrema ugonjwa wake wa kisukari, kwa kujipaka mabaka usoni.
Assume Mrema amuigize sasa afu yeye aone live kwenye TV atajisikiaje?
Ivi Mrema angekua baba yake mzazi na anasumbuliwa vile na kisukari,,huyu dogo angemfanyia dhihaka vile?
Usemi wa hujafa hujaumbika nadhani atakua ameuelewa sasa
Kuingiliwa kinyume na maumbile:lying:
huyu dongo alikua akimuigiza mrema ugonjwa wake wa kisukari, kwa kujipaka mabaka usoni.
Assume mrema amuigize sasa afu yeye aone live kwenye tv atajisikiaje?
Ivi mrema angekua baba yake mzazi na anasumbuliwa vile na kisukari,,huyu dogo angemfanyia dhihaka vile?
Usemi wa hujafa hujaumbika nadhani atakua ameuelewa sasa
Tunamuombea apone upesi...Inaonekana huwa husomi topic zinazowekwa kwenye jamii forum. ungesoma ungejua Vengu aliko. Vengu ni Mgonjwa amelazwa Muhimbili Mwaisela ward 1. Anahitaji Maombi na sala zako kwa hali aliyokuwa nayo. ukipata wasaa na nafasi kamtembelee Muhi2.
Kuingiliwa kinyume na maumbile:lying:
mwenzetu ndo huyo ameisha mwili wote
![]()
nimemuona kwenye gazeti la jana amelazwa muhimbil hospital ana rais wetu JK alipita kumpa pole naona yuko kwenye oxygen sijui anaumwa nini??
Alikuwa mgonjwa kipindi flani tena alilazwa icu sina update km alipona au anaendeleaje
Jaman mshikaji anaumwa mana tokea nipate taliza ni kitambo kirefu kuwa anaumwa.hata masanja mwenyewe mala kibao huwa anatoa talifa kuwa jembe lake linaumwa japo hawajatujuza anaumwa nini.pole sana Joseph na ugua pole
Inaonekana huwa husomi topic zinazowekwa kwenye jamii forum. ungesoma ungejua Vengu aliko. Vengu ni Mgonjwa amelazwa Muhimbili Mwaisela ward 1. Anahitaji Maombi na sala zako kwa hali aliyokuwa nayo. ukipata wasaa na nafasi kamtembelee Muhi2.
Tatizo lake haswa nini?