Joseph Sinde Warioba alipewa kalamu ya Katiba lakini aliandika hisia zake

View attachment 3588929

👉Kumekuwa na tabia ya baadhi ya viongozi wastaafu, hususan , kujiona kuwa wao pekee ndiyo wenye hekima na uwezo wa kuamua mustakabali wa taifa letu. Kila jambo linalofanywa na serikali hulikosoa kwa kejeli kana kwamba hakuna chochote kizuri kinachoweza kufanywa bila ridhaa yake. Hali hii imeanza kuwachosha watanzania wengi wanaotaka kuona mshikamano badala ya lawama zisizoisha.

👉Joseph sinde warioba ameonekana mara nyingi akipinga karibu kila hatua ya serikali, huku akitaka mawazo yake yaonekane ndiyo suluhisho pekee. Badala ya kutoa ushauri wa kujenga taifa, amekuwa akijenga mazingira ya sintofahamu na kuonyesha kana kwamba taasisi zote za nchi hazina uwezo wa kufanya maamuzi sahihi bila yeye.

👉Kauli yake kwamba INEC ndiyo iliyopiga kura badala ya wananchi ni kauli nzito sana ambayo ilipaswa kuambatana na ushahidi wa wazi. Katika taifa linaloheshimu sheria na taasisi zake, si sahihi kutoa madai makubwa bila vielelezo. Kauli za namna hii zinaweza kupandikiza chuki na kutengeneza mgawanyiko kwa wananchi bila sababu za msingi.

👉Kinachoshangaza zaidi ni kwamba aliwahi kushika nafasi kubwa serikalini kama Mwanasheria Mkuu na Waziri Mkuu. Kama kweli aliamini sheria au mifumo ya nchi ilikuwa mibovu kiasi hicho, kwa nini hakufanya marekebisho akiwa madarakani? Uongozi huonekana kwa matendo, si kwa lawama za kila siku baada ya kutoka madarakani.

👉Wengi wanaona tatizo kubwa la Joseph sinde warioba ni kutaka kila jambo lifanyike kwa namna anavyotaka yeye. Akiona mawazo yake hayajafuatwa, huanza kulalamika na kubeza mfumo mzima wa nchi. Hii siyo dalili ya uongozi wa hekima bali ni ishara ya kutotaka kukubali kuwa dunia hubadilika na kila kizazi kina mtazamo wake.

👉Katika mchakato wa Katiba Mpya, alimpa jukumu la kuongoza Tume ya Katiba kwa matarajio ya kusikiliza maoni ya wananchi kwa uwazi. Lakini badala yake, watu wengi waliamini rasimu ile ilibeba zaidi mawazo ya tume kuliko maoni halisi ya watanzania waliotoa maoni nchini kote.

👉Hoja ya serikali tatu ndiyo iliyozua mjadala mkubwa zaidi. Takwimu zilizotolewa zilionyesha tofauti kubwa kati ya waliohojiwa na hitimisho lililowekwa kwenye rasimu. Hali hii iliwafanya wananchi wengi kuamini kuwa baadhi ya mapendekezo yalikuwa msimamo wa tume kuliko maoni ya wananchi wenyewe.

👉Katika upande wa Zanzibar, kulikuwa na maoni mbalimbali tofauti kuhusu muungano, ikiwemo serikali mbili, serikali ya mkataba na hata serikali nne. Lakini baadhi ya maoni hayo hayakupewa uzito sawa kwenye taarifa rasmi. Hili liliibua maswali mengi kuhusu uwazi wa mchakato mzima wa ukusanyaji na uchambuzi wa maoni.

👉Joseph sinde warioba alikuwa na mtazamo wenye mashaka kuhusu muungano na nafasi ya Zanzibar ndani ya Jamhuri ya Muungano. Hoja zake kuhusu uraia na muundo wa muungano zilifanya baadhi ya watanzania kuamini kuwa alikuwa akielekea kuipa Zanzibar hadhi ya nchi bila kuwa na mfumo wake kamili wa uraia.

👉kulikuwa na mjadala mkubwa kuhusu baadhi ya mapendekezo yaliyowekwa kwenye rasimu, kama suala la kubadili baadhi ya alama na misingi ya taifa. Watu wengi walijiuliza ni wananchi gani waliopendekeza mambo kama kufutwa kwa wimbo wa taifa au kuingizwa kwa baadhi ya vipengele ambavyo havikuwa sehemu ya mijadala mikubwa ya wananchi.

👉Tatizo kubwa ambalo wananchi wengi wanaliona kwa ni kupenda kuzungumza kila mara kana kwamba taifa halina watu wengine wenye uwezo wa kufikiri. Mara nyingi hutumia nafasi yake kama kiongozi mstaafu kutoa kauli zinazogawa jamii badala ya kuijenga.

👉Tanzania imekuwa na viongozi wengi waliostaafu kwa heshima na wakaamua kuwa washauri wa busara kwa taifa. Lakini kwa Joseph sinde warioba, kila siku ni lawama, malalamiko na ukosoaji usio na mwisho. Watu wengi wanaamini kuwa angekuwa msaada mkubwa zaidi kama angetumia uzoefu wake kutoa ushauri wa utulivu kuliko kuibua migogoro ya kisiasa kila mara✍️
Umepewa kazi ngumu sana ya kutaka kuufanya mlima Kilimanjaro uwe kichuguu , na ulivyo mpumbavu unaamini kuwa unaweza ifanya kazi hiyo.
 
Kwani aliituma kwako ukajua kama aliandikia hisia?
 
Acha udini, acha wananchi wapate haki zao, kwanini unatetea wauaji?
 
Na hisia zake zote zile potofu kwasasa hazina nafasi tena, ni muhimu zaidi tukazipuuza na kumpuuza zaidi yeye kwa upotoshaji anaoendelea kuufanya mitandaoni 🐒
 
Hatuwezi kuandika katiba bila kuwepo mwafaka wa kitaifa.
Hata hiyo rasimu itakwama tu njiani kwasabu tutabishana weee, kisha mchakato utafia tu njiani...kama 2014.
Na mwafaka huu ni makundi mawili tu
1. CCM ambao ndio serikali
2. Opposition baaasi,
Hao sijui, wakulima, wafugaji, high learning institutions, vyama vya wafanyakazi, media, walemavu, wanawake honestly wako driven na hayo makundi.........
Siku Wapinzani na CCM wakiongea lugha moja, hayo makundi mengine hayana hata shida.....

Opposition ni lazima wajue hawawezi ku-achieve yote wayatakayo 100%
CCM lazima nao wawe tayari kupoteza interests zao hata kwa kiwango cha 40%, ili Win-Win partnership ifanikiwe kwa masilahi ya nchi.

Bila hivyo tusahau.
 
Kwenye tume ya kukusanya Maoni mbona walikuwa wengi? Rasimu ya Warioba ndiyo ilikuwa best hadi SISIEMU "wakaacha ndala 45"
 
Huyu muache kbs!! Kiuhalisia huyu Mzee ndie mzalendo wa kweli ✔️ rasimu ile ndio sahihi ili kuondoa makandokando yenu!!
 
Hatuwezi kuandika katiba bila kuwepo mwafaka wa kitaifa.
Hata hiyo rasimu itakwama tu njiani kwasabu tutabishana weee, kisha mchakato utafia tu njiani...kama 2014.
Na mwafaka huu ni makundi mawili tu
1. CCM ambao ndio serikali
2. Opposition baaasi,
Hao sijui, wakulima, wafugaji, high learning institutions, vyama vya wafanyakazi, media, walemavu, wanawake honestly wako driven na hayo makundi.........
Siku Wapinzani na CCM wakiongea lugha moja, hayo makundi mengine hayana hata shida.....

Opposition ni lazima wajue hawawezi ku-achieve yote wayatakayo 100%
CCM lazima nao wawe tayari kupoteza interests zao hata kwa kiwango cha 40%, ili Win-Win partnership ifanikiwe kwa masilahi ya nchi.

Bila hivyo tusahau.
Na hapo CDM wanapendekeza katiba itakayo washughulikia mafisadi kulinda rasilimali za nchi, kuwawajibisha wabaridhifu na kuwafunga gerezani!! CCM hawataki kusikia katiba kama hiyo.. kazi ipo
 
Kila upande upunguze matarajio,
Kila upande ukubali kushuka, wakutane hapo katikati....kuna hili utapata lakini lile utakosa...atapata mwenzio.
Na hiyo katiba sio lazima 100% ikidhi kila contents, imperfections zipogo tu..kwasababu inaandikwa na binadamu wanaokuja na kuondoka.

Kwa mfano, mimi mpinzani(mfano) naweza kukubali tuendelee na serikali mbili kama CCM watakavyo, lakini nikafaulu kuwekwa kifungu strict kinachokataza tume huru ya Uchaguzi isiyotokane na uteule wa Rais

Kama tumeishi na katiba hii mbovu kwa miaka 48 tutashindwaje kuishi na hiyo katiba yenye maboresho.
 
View attachment 3588929

👉Kumekuwa na tabia ya baadhi ya viongozi wastaafu, hususan , kujiona kuwa wao pekee ndiyo wenye hekima na uwezo wa kuamua mustakabali wa taifa letu. Kila jambo linalofanywa na serikali hulikosoa kwa kejeli kana kwamba hakuna chochote kizuri kinachoweza kufanywa bila ridhaa yake. Hali hii imeanza kuwachosha watanzania wengi wanaotaka kuona mshikamano badala ya lawama zisizoisha.

👉Joseph sinde warioba ameonekana mara nyingi akipinga karibu kila hatua ya serikali, huku akitaka mawazo yake yaonekane ndiyo suluhisho pekee. Badala ya kutoa ushauri wa kujenga taifa, amekuwa akijenga mazingira ya sintofahamu na kuonyesha kana kwamba taasisi zote za nchi hazina uwezo wa kufanya maamuzi sahihi bila yeye.

👉Kauli yake kwamba INEC ndiyo iliyopiga kura badala ya wananchi ni kauli nzito sana ambayo ilipaswa kuambatana na ushahidi wa wazi. Katika taifa linaloheshimu sheria na taasisi zake, si sahihi kutoa madai makubwa bila vielelezo. Kauli za namna hii zinaweza kupandikiza chuki na kutengeneza mgawanyiko kwa wananchi bila sababu za msingi.

👉Kinachoshangaza zaidi ni kwamba aliwahi kushika nafasi kubwa serikalini kama Mwanasheria Mkuu na Waziri Mkuu. Kama kweli aliamini sheria au mifumo ya nchi ilikuwa mibovu kiasi hicho, kwa nini hakufanya marekebisho akiwa madarakani? Uongozi huonekana kwa matendo, si kwa lawama za kila siku baada ya kutoka madarakani.

👉Wengi wanaona tatizo kubwa la Joseph sinde warioba ni kutaka kila jambo lifanyike kwa namna anavyotaka yeye. Akiona mawazo yake hayajafuatwa, huanza kulalamika na kubeza mfumo mzima wa nchi. Hii siyo dalili ya uongozi wa hekima bali ni ishara ya kutotaka kukubali kuwa dunia hubadilika na kila kizazi kina mtazamo wake.

👉Katika mchakato wa Katiba Mpya, alimpa jukumu la kuongoza Tume ya Katiba kwa matarajio ya kusikiliza maoni ya wananchi kwa uwazi. Lakini badala yake, watu wengi waliamini rasimu ile ilibeba zaidi mawazo ya tume kuliko maoni halisi ya watanzania waliotoa maoni nchini kote.

👉Hoja ya serikali tatu ndiyo iliyozua mjadala mkubwa zaidi. Takwimu zilizotolewa zilionyesha tofauti kubwa kati ya waliohojiwa na hitimisho lililowekwa kwenye rasimu. Hali hii iliwafanya wananchi wengi kuamini kuwa baadhi ya mapendekezo yalikuwa msimamo wa tume kuliko maoni ya wananchi wenyewe.

👉Katika upande wa Zanzibar, kulikuwa na maoni mbalimbali tofauti kuhusu muungano, ikiwemo serikali mbili, serikali ya mkataba na hata serikali nne. Lakini baadhi ya maoni hayo hayakupewa uzito sawa kwenye taarifa rasmi. Hili liliibua maswali mengi kuhusu uwazi wa mchakato mzima wa ukusanyaji na uchambuzi wa maoni.

👉Joseph sinde warioba alikuwa na mtazamo wenye mashaka kuhusu muungano na nafasi ya Zanzibar ndani ya Jamhuri ya Muungano. Hoja zake kuhusu uraia na muundo wa muungano zilifanya baadhi ya watanzania kuamini kuwa alikuwa akielekea kuipa Zanzibar hadhi ya nchi bila kuwa na mfumo wake kamili wa uraia.

👉kulikuwa na mjadala mkubwa kuhusu baadhi ya mapendekezo yaliyowekwa kwenye rasimu, kama suala la kubadili baadhi ya alama na misingi ya taifa. Watu wengi walijiuliza ni wananchi gani waliopendekeza mambo kama kufutwa kwa wimbo wa taifa au kuingizwa kwa baadhi ya vipengele ambavyo havikuwa sehemu ya mijadala mikubwa ya wananchi.

👉Tatizo kubwa ambalo wananchi wengi wanaliona kwa ni kupenda kuzungumza kila mara kana kwamba taifa halina watu wengine wenye uwezo wa kufikiri. Mara nyingi hutumia nafasi yake kama kiongozi mstaafu kutoa kauli zinazogawa jamii badala ya kuijenga.

👉Tanzania imekuwa na viongozi wengi waliostaafu kwa heshima na wakaamua kuwa washauri wa busara kwa taifa. Lakini kwa Joseph sinde warioba, kila siku ni lawama, malalamiko na ukosoaji usio na mwisho. Watu wengi wanaamini kuwa angekuwa msaada mkubwa zaidi kama angetumia uzoefu wake kutoa ushauri wa utulivu kuliko kuibua migogoro ya kisiasa kila mara✍️
Wanaccm bana mmeanza chokochoko Ili Mzee asipewe tena tenda ya katiba mpya. Mna ajenda yenu ninyi
 
Na wewe njoo na mawazo yako tuyaone..!!
 
Kila upande upunguze matarajio,
Kila upande ukubali kushuka, wakutane hapo katikati....kuna hili utapata lakini lile utakosa...atapata mwenzio.
Na hiyo katiba sio lazima 100% ikidhi kila contents, imperfections zipogo tu..kwasababu inaandikwa na binadamu wanaokuja na kuondoka.

Kwa mfano, mimi mpinzani(mfano) naweza kukubali tuendelee na serikali mbili kama CCM watakavyo, lakini nikafaulu kuwekwa kifungu strict kinachokataza tume huru ya Uchaguzi isiyotokane na uteule wa Rais

Kama tumeishi na katiba hii mbovu kwa miaka 48 tutashindwaje kuishi na hiyo katiba yenye maboresho.
Ukiangalia rasimu ya warioba ilitokana na upande zaid wa upinzan au CCM?
 
..........."watu wengi"...... wangapi? Akina nani/kundi lipi? Toa takwimu hapa. Si Jambo la hisia.
 
View attachment 3588929

👉Kumekuwa na tabia ya baadhi ya viongozi wastaafu, hususan , kujiona kuwa wao pekee ndiyo wenye hekima na uwezo wa kuamua mustakabali wa taifa letu. Kila jambo linalofanywa na serikali hulikosoa kwa kejeli kana kwamba hakuna chochote kizuri kinachoweza kufanywa bila ridhaa yake. Hali hii imeanza kuwachosha watanzania wengi wanaotaka kuona mshikamano badala ya lawama zisizoisha.

👉Joseph sinde warioba ameonekana mara nyingi akipinga karibu kila hatua ya serikali, huku akitaka mawazo yake yaonekane ndiyo suluhisho pekee. Badala ya kutoa ushauri wa kujenga taifa, amekuwa akijenga mazingira ya sintofahamu na kuonyesha kana kwamba taasisi zote za nchi hazina uwezo wa kufanya maamuzi sahihi bila yeye.

👉Kauli yake kwamba INEC ndiyo iliyopiga kura badala ya wananchi ni kauli nzito sana ambayo ilipaswa kuambatana na ushahidi wa wazi. Katika taifa linaloheshimu sheria na taasisi zake, si sahihi kutoa madai makubwa bila vielelezo. Kauli za namna hii zinaweza kupandikiza chuki na kutengeneza mgawanyiko kwa wananchi bila sababu za msingi.

👉Kinachoshangaza zaidi ni kwamba aliwahi kushika nafasi kubwa serikalini kama Mwanasheria Mkuu na Waziri Mkuu. Kama kweli aliamini sheria au mifumo ya nchi ilikuwa mibovu kiasi hicho, kwa nini hakufanya marekebisho akiwa madarakani? Uongozi huonekana kwa matendo, si kwa lawama za kila siku baada ya kutoka madarakani.

👉Wengi wanaona tatizo kubwa la Joseph sinde warioba ni kutaka kila jambo lifanyike kwa namna anavyotaka yeye. Akiona mawazo yake hayajafuatwa, huanza kulalamika na kubeza mfumo mzima wa nchi. Hii siyo dalili ya uongozi wa hekima bali ni ishara ya kutotaka kukubali kuwa dunia hubadilika na kila kizazi kina mtazamo wake.

👉Katika mchakato wa Katiba Mpya, alimpa jukumu la kuongoza Tume ya Katiba kwa matarajio ya kusikiliza maoni ya wananchi kwa uwazi. Lakini badala yake, watu wengi waliamini rasimu ile ilibeba zaidi mawazo ya tume kuliko maoni halisi ya watanzania waliotoa maoni nchini kote.

👉Hoja ya serikali tatu ndiyo iliyozua mjadala mkubwa zaidi. Takwimu zilizotolewa zilionyesha tofauti kubwa kati ya waliohojiwa na hitimisho lililowekwa kwenye rasimu. Hali hii iliwafanya wananchi wengi kuamini kuwa baadhi ya mapendekezo yalikuwa msimamo wa tume kuliko maoni ya wananchi wenyewe.

👉Katika upande wa Zanzibar, kulikuwa na maoni mbalimbali tofauti kuhusu muungano, ikiwemo serikali mbili, serikali ya mkataba na hata serikali nne. Lakini baadhi ya maoni hayo hayakupewa uzito sawa kwenye taarifa rasmi. Hili liliibua maswali mengi kuhusu uwazi wa mchakato mzima wa ukusanyaji na uchambuzi wa maoni.

👉Joseph sinde warioba alikuwa na mtazamo wenye mashaka kuhusu muungano na nafasi ya Zanzibar ndani ya Jamhuri ya Muungano. Hoja zake kuhusu uraia na muundo wa muungano zilifanya baadhi ya watanzania kuamini kuwa alikuwa akielekea kuipa Zanzibar hadhi ya nchi bila kuwa na mfumo wake kamili wa uraia.

👉kulikuwa na mjadala mkubwa kuhusu baadhi ya mapendekezo yaliyowekwa kwenye rasimu, kama suala la kubadili baadhi ya alama na misingi ya taifa. Watu wengi walijiuliza ni wananchi gani waliopendekeza mambo kama kufutwa kwa wimbo wa taifa au kuingizwa kwa baadhi ya vipengele ambavyo havikuwa sehemu ya mijadala mikubwa ya wananchi.

👉Tatizo kubwa ambalo wananchi wengi wanaliona kwa ni kupenda kuzungumza kila mara kana kwamba taifa halina watu wengine wenye uwezo wa kufikiri. Mara nyingi hutumia nafasi yake kama kiongozi mstaafu kutoa kauli zinazogawa jamii badala ya kuijenga.

👉Tanzania imekuwa na viongozi wengi waliostaafu kwa heshima na wakaamua kuwa washauri wa busara kwa taifa. Lakini kwa Joseph sinde warioba, kila siku ni lawama, malalamiko na ukosoaji usio na mwisho. Watu wengi wanaamini kuwa angekuwa msaada mkubwa zaidi kama angetumia uzoefu wake kutoa ushauri wa utulivu kuliko kuibua migogoro ya kisiasa kila mara✍️
Kumshambulia Warioba ni kama kupigana na Shekhe au Padri barabarani alafu unategemea jamii ikutetee..
Kweli haumifutwi kwa maandiko mareeefu..kweli inaandikwa kwa vitendo!
 
Back
Top Bottom