Joseph Sinde Warioba alipewa kalamu ya Katiba lakini aliandika hisia zake

Umepewa kazi ngumu sana ya kutaka kuufanya mlima Kilimanjaro uwe kichuguu , na ulivyo mpumbavu unaamini kuwa unaweza ifanya kazi hiyo.
 
Kwani aliituma kwako ukajua kama aliandikia hisia?
 
Acha udini, acha wananchi wapate haki zao, kwanini unatetea wauaji?
 
Na hisia zake zote zile potofu kwasasa hazina nafasi tena, ni muhimu zaidi tukazipuuza na kumpuuza zaidi yeye kwa upotoshaji anaoendelea kuufanya mitandaoni 🐒
 
Hatuwezi kuandika katiba bila kuwepo mwafaka wa kitaifa.
Hata hiyo rasimu itakwama tu njiani kwasabu tutabishana weee, kisha mchakato utafia tu njiani...kama 2014.
Na mwafaka huu ni makundi mawili tu
1. CCM ambao ndio serikali
2. Opposition baaasi,
Hao sijui, wakulima, wafugaji, high learning institutions, vyama vya wafanyakazi, media, walemavu, wanawake honestly wako driven na hayo makundi.........
Siku Wapinzani na CCM wakiongea lugha moja, hayo makundi mengine hayana hata shida.....

Opposition ni lazima wajue hawawezi ku-achieve yote wayatakayo 100%
CCM lazima nao wawe tayari kupoteza interests zao hata kwa kiwango cha 40%, ili Win-Win partnership ifanikiwe kwa masilahi ya nchi.

Bila hivyo tusahau.
 
Kwenye tume ya kukusanya Maoni mbona walikuwa wengi? Rasimu ya Warioba ndiyo ilikuwa best hadi SISIEMU "wakaacha ndala 45"
 
Huyu muache kbs!! Kiuhalisia huyu Mzee ndie mzalendo wa kweli ✔️ rasimu ile ndio sahihi ili kuondoa makandokando yenu!!
 
Na hapo CDM wanapendekeza katiba itakayo washughulikia mafisadi kulinda rasilimali za nchi, kuwawajibisha wabaridhifu na kuwafunga gerezani!! CCM hawataki kusikia katiba kama hiyo.. kazi ipo
 
Na hapo CDM wanapendekeza katiba itakayo washughulikia mafisadi kulinda rasilimali za nchi, kuwawajibisha wabaridhifu na kuwafunga gerezani!! CCM hawataki kusikia katiba kama hiyo.. kazi ipo
Kila upande upunguze matarajio,
Kila upande ukubali kushuka, wakutane hapo katikati....kuna hili utapata lakini lile utakosa...atapata mwenzio.
Na hiyo katiba sio lazima 100% ikidhi kila contents, imperfections zipogo tu..kwasababu inaandikwa na binadamu wanaokuja na kuondoka.

Kwa mfano, mimi mpinzani(mfano) naweza kukubali tuendelee na serikali mbili kama CCM watakavyo, lakini nikafaulu kuwekwa kifungu strict kinachokataza tume huru ya Uchaguzi isiyotokane na uteule wa Rais

Kama tumeishi na katiba hii mbovu kwa miaka 48 tutashindwaje kuishi na hiyo katiba yenye maboresho.
 
Wanaccm bana mmeanza chokochoko Ili Mzee asipewe tena tenda ya katiba mpya. Mna ajenda yenu ninyi
 

Na wewe njoo na mawazo yako tuyaone..!!
 
Ukiangalia rasimu ya warioba ilitokana na upande zaid wa upinzan au CCM?
 
..........."watu wengi"...... wangapi? Akina nani/kundi lipi? Toa takwimu hapa. Si Jambo la hisia.
 
Kumshambulia Warioba ni kama kupigana na Shekhe au Padri barabarani alafu unategemea jamii ikutetee..
Kweli haumifutwi kwa maandiko mareeefu..kweli inaandikwa kwa vitendo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…