Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Museven yeye anadominate pande zote kwa kupachika familia yakeNi dicketa aliyebahatika kuwa na absolute power and authority.
Labda ni hatua lazima tuzipitieAfrika tunakabiliana na matatizo waliyokabiliana nayo Ulaya miaka 100 iliyopita.
Lazima tuzipitieLabda ni hatua lazima tuzipitie
Lakini yeye ndio aliyeojenga USSR na kulifanya kua ni moja kati ya mataifa mawili Super Power dunianiNi dicketa aliyebahatika kuwa na absolute power and authority.
maendeleo ni hatua hakuna kuruka stageAfrika tunakabiliana na matatizo waliyokabiliana nayo Ulaya miaka 100 iliyopita.
Huyu mwamba aliitoa Urusi kutoka nchi ya kikabaila na masikini zaidi Ulaya, hadi kuwa taifa la kinyuklia ndani ya miaka 29 tu. Ukweli usiopingika ni kwamba bila Joseph Stalin Ujerumani ya wanazi ingeitawala Ulaya yote kabla hata ya Marekani kufika barani Ulaya. Pia bila Joseph Stalin sidhani kama Mao Zedong, Hochi Minh na Kim Il Sungu wangekuwa hata maraisi wa nchi zao.Lakini yeye ndio aliyeojenga USSR na kulifanya kua ni moja kati ya mataifa mawili Super Power duniani
Michael Gorbachev alisifika(hasa na nchi za magharibi) kua mwana demokrasia msifika, lakini the then powerful USSR ilivunjikia mikononi kwake
Anyways, wote wana upande hasi na chanya. Na sisi kama bara lililonyuma kwa kila kitu tuna mengi ya kujifunza kama kweli hua tunazingatia masomo kutokana na historia ya dunia
Huyu ndiye engineer wa Cold War, aliivusha Urusi vizuri kwenye WWII lakini aliendeleza mbinu za kijeshi kuelekea kwa Western Europe and USA.Huyu mwamba aliitoa Urusi kutoka nchi ya kikabaila na masikini zaidi Ulaya, hadi kuwa taifa la kinyuklia ndani ya miaka 29 tu. Ukweli usiopingika ni kwamba bila Joseph Stalin Ujerumani ya wanazi ingeitawala Ulaya yote kabla hata ya Marekani kufika barani Ulaya. Pia bila Joseph Stalin sidhani kama Mao Zedong, Hochi Minh na Kim Il Sungu wangekuwa hata maraisi wa nchi zao.
Huyu ni moja kati ya watu mashuhuri ambao waliweza kubadilisha mwelekezo mzima wa karne ya ishirini na kufanya dunia iwe hivi leo. Sasa alikuwa ni shujaa au adui hilo ni swali ambalo linahitaji utulivu sana ili kuweza kulijibu,....
Mafanikio ya Stalin yalionekana zaidi nje ya Soviet Union, ilifanikisha Sputnik 1 na kuifanya Soviet iogopewe kwa nguvu za kivita.Lakini yeye ndio aliyeojenga USSR na kulifanya kua ni moja kati ya mataifa mawili Super Power duniani
Michael Gorbachev alisifika(hasa na nchi za magharibi) kua mwana demokrasia msifika, lakini the then powerful USSR ilivunjikia mikononi kwake
Anyways, wote wana upande hasi na chanya. Na sisi kama bara lililonyuma kwa kila kitu tuna mengi ya kujifunza kama kweli hua tunazingatia masomo kutokana na historia ya dunia
Agenda kubwa katika uongozi wake zilikuwa mbili, 1. Nguvu za kijeshi na 2. Uchumi.Huyu mwamba mm namkubali sana maana bila huyu Vita ya pili ya dunia ingechukua mda sana kuisha ila aliwatuliza wa nazi pale kwenye mji wa jina lake stalinglad akawachapa ipasavo.Bila huyu hitler angetamba sana maana mwamba aliwaambia askari wake ww ukikimbia vita unatwanga risasi wa russia wakawa mbogo waliwatandika wajerumani mpaka wakasanda
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Lakini ndo ameifanya Russia kua super power maana jamaa alikua na maamuzi magumu sana huyu.Pia ni mtu aliye ipenda sana nchi yake ndo maana hakuruhusu wajinga walete upuuuzi wowote pale russia mpaka dini alizpiga marufukuAgenda kubwa katika uongozi wake zilikuwa mbili, 1. Nguvu za kijeshi na 2. Uchumi.
Hela nyingi zilitumika kuimarisha nguvu za kijeshi kuliko welfare ya wananchi. Mahitaji ya muhimu pia yalionekana ni anasa kwa wananchi wa kawaida.
MacDonalds ya kwanza Urusi ilifunguliwa wakati wa Gobarchev.
In another way I look at him as a man who built an expensive mansion but inside the house his children are starving and his wife is not happy.Lakini ndo ameifanya Russia kua super power maana jamaa alikua na maamuzi magumu sana huyu.Pia ni mtu aliye ipenda sana nchi yake ndo maana hakuruhusu wajinga walete upuuuzi wowote pale russia mpaka dini alizpiga marufuku
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app