ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Watu kama Mao wa china alia fanya makubwa mpaka leo china unaiona pale ni nguvu yao japo wali starve wakawa wanakula kila kitu lakini sasa china iko pale hata Soviet union isngekua huyu mwamba kua na maamuzi magumu russia ingekua ni nchi masikini tu Sometime wana nchi wakipitia hali ngumu is for their futureIn another way I look at him as a man who built an expensive mansion but inside the house his children are starving and his wife is not happy.
Wakati wa Gorbachev, Umoja wa Kisovyeti ilikuwa kama Zombi (mati inayotembea). Waliwahi kukazia nguvu katika mambo ya kijeshi. Lakini kutokana roho yao ya udikteta, mapinduzi ya mkompyuta yaliwahi kupita kwao. Maana chama kilitaka kusimamia kila dhana, hivyo hata mashine za fotokopi zilikuwa chache (hatari ya kusambaza kwa mawazo yasiyo ya serikali)... Hivyo uzalishaji wa viwanda vyao ulikuwa duni. Basi yote iliporomoka haraka.Lakini yeye ndio aliyeojenga USSR na kulifanya kua ni moja kati ya mataifa mawili Super Power duniani
Michael Gorbachev alisifika(hasa na nchi za magharibi) kua mwana demokrasia msifika, lakini the then powerful USSR ilivunjikia mikononi kwake
Anyways, wote wana upande hasi na chanya. Na sisi kama bara lililonyuma kwa kila kitu tuna mengi ya kujifunza kama kweli hua tunazingatia masomo kutokana na historia ya dunia
Hayo unaamini? Alikuwa dikteta aliyeua milioni ya wananchi wake. Urusi haukuwa na nguvu kushinda nchi nyingine. Ilikuwa na nguvu kubwa ya kijeshi kwa sababu aliwekeza kila kitu kwenye tasnia ya kijeshi, ilhali wananchi walikuwa maskini.StaloS was a great leader who saved the world from falling in the hands of Hitler
He successful made Russia the most Powerful nation both militarily and economically
Mpendwa, je inawezakana hujui unachojadili? Basi usipopenda ushuhuda kutoka mabepari, ona hapo chini Warusi wenyewe wanasemaje. Umesikia jina la Solzhenitsin? Anarejelewa chini. Maneno ambayo nimeweka kwa bold letters yanasema watu milioni 60, yaani watu waliouawa kwa amri za Stalin.Hayo unaamini? Alikuwa dikteta aliyeua milioni ya wananchi wake. Urusi haukuwa na nguvu kushinda nchi nyingine. Ilikuwa na nguvu kubwa ya kijeshi kwa sababu aliwekeza kila kitu kwenye tasnia ya kijeshi, ilhali wananchi walikuwa maskini.
Mkuu:
Sasa unakataa kipi na unakubali kipi?
Suala la kuua watu wengi kama ni Kweli:-
Halizuii nchi kuwa na nguvu kubwa Kiuchumi na Kijeshi
Inategemea chanzo cha taarifa za kuwepo kwa mauaji hayo makubwa zimetolewa na Watu au nchi gani! Kwa kesi yetu hii watoa taarifa ni Wamarekani na Washiriki wake waliopigwa kwa aibu na Hitler
Nimeona unadai Urusi haikuwa na nguvu kubwa kushinda nchi nyingine!!! Umekosea pakubwa kwani rusi ilikuwa na nguvu kubwa sana kuliko nchi zote za ulaya zilizoitegemea Marekani kuanzia wakati ule hadi leo hii
Kibaya zaid alikufa kwa fedheha sanaLakini ndo ameifanya Russia kua super power maana jamaa alikua na maamuzi magumu sana huyu.Pia ni mtu aliye ipenda sana nchi yake ndo maana hakuruhusu wajinga walete upuuuzi wowote pale russia mpaka dini alizpiga marufuku
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app