Josephat Gwajima akana utajiri wake

sawa hata unamjua huwezi kumwita mtumishi wa Mungu ni mvuta bangi.

Mkuu emma mtumishi wa mungu kwako..mm kanitukania kiongoz wang mkuu wa kanisa mkuu..ulifurahii..mtu mwenye akil timamu awez kuongea vile
 
rudi darasani ukajifunze kuandika vizuri raja ndo nini muhomakilo

Ha ha ha mkuu bhana,haya nitarudi mkuu,haya nieleze huyu jamaa ni kutoka nchi gani?,maana linazungumzwa mno!,hiyo Inaonyesha Kuna walakini...
 
Last edited by a moderator:

Kaeni na uwongo wenu mkawadanganye misukule
 
Mkuu emma mtumishi wa mungu kwako..mm kanitukania kiongoz wang mkuu wa kanisa mkuu..ulifurahii..mtu mwenye akil timamu awez kuongea vile

lakini mambo ya Gwajima kumtukana Pengo yalishaisha baada ya Pengo kumsamehe sioni haja ya kumwita Gwajima mvuta bangi kama hujawahi kumwona anavuta bangi .au kama una ushahidi useme .Pengo tunajua anayempa kiburi ni nani pia mimi siyo mfuasi wa Gwajima ila huwa sipendi kashfa kwa viongozi wa dini.
 
Ha ha ha mkuu bhana,haya nitarudi mkuu,haya nieleze huyu jamaa ni kutoka nchi gani?,maana linazungumzwa mno!,hiyo Inaonyesha Kuna walakini...

kwani yeye anaishi nchi gani yupo hapa kwa miaka mingapi .
 
We emma pengo si unajua wale watu ata ufanyeje atasamehe tu..ss waumin biffu bado linaendelea hatuna moyo wa kusamehe kitoto vile..
 
Raisi wetu ni mtu mwenye hekima..hawezi kuwa mkurupukaji kama kama huyo mchunga kondoo...

tunaweza kupishana kimawazo kidogo Gwajima hakuropoka aliongea ukweli ndo maana Pengo alimshamehe hayo mambo yalishaisha sasa tupo kwenye mada nyingine.
 
We emma pengo si unajua wale watu ata ufanyeje atasamehe tu..ss waumin biffu bado linaendelea hatuna moyo wa kusamehe kitoto vile..

sasa kama wewe una bifu unataka mimi nkusaidie nini mimi mwenyewe ni mkristo lakini kiongozi mkubwa kama Pengo anapokwenda kinyume na viongozi wenzake huwa hafai kama ilivyo kwa Pengo ndo askofu ninayemdharau kuliko maaskofu wote tanzania.
 
Amesema nch nzima syo dsm pekee
 
Mleta mada hacha uchonganishi unajua maana ya neno "kumvaa mtu"au umeandika tu kupotosha watu?Ngwajima katoa kama ombi kwa mtukufu raisi kwani hawa wote wachavuzi wa nchi wapo chini yake.kumvaa mtu ni kama vile alivyofanya kwa Pengo.

Rais sio mtukufu thou mtoa mada mchonganishi kama anataka kuuza gazeti
 
kwani yeye anaishi nchi gani yupo hapa kwa miaka mingapi .

Hujajibu swali!,Dk Remmy aliishi hapa nchini Zaidi ya miaka 40,amekufa akiwa Si raia wa Tanzania,Kuishi miaka mingi Si kigezo....haya Gwajima Ana asili ya nchi gani?..
 
sasa kama wewe una bifu unataka mimi nkusaidie nini mimi mwenyewe ni mkristo lakini kiongozi mkubwa kama Pengo anapokwenda kinyume na viongozi wenzake huwa hafai kama ilivyo kwa Pengo ndo askofu ninayemdharau kuliko maaskofu wote tanzania.

Emma kuanzia leo sio mkristo teeena..kabatizwe upwa..yaan unamdharau askofu ww...
 
Kaeni na uwongo wenu mkawadanganye misukule
Jamaa tumembana kwenye ukubwa wa uwanja hadi kapunguza idadi ya wahudhuriaji.sasa anadai siku za ibada ziko nne katika wiki,na at least sasa anasema wanaotoa pesa ni kama watu elfu kumi.
hizo ibada za katikati ya wiki sidhani kama zinakuwa na watu kama ibada ya jumapili.
lakini atleast ameanza kupunguza takwimu ili ziendane na hali halisi.
 
tunaweza kupishana kimawazo kidogo Gwajima hakuropoka aliongea ukweli ndo maana Pengo alimshamehe hayo mambo yalishaisha sasa tupo kwenye mada nyingine.

Kumropokea maneno ya kashfa mtu anayelingana na baba yako ni kumwambia ukweli au kumtukana....au wewe baba yako akikukosea au mkipishana kauli ndio unatumia lugha aliyoitumia gwajima kumweka sawa baba yako....??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…