Hahaha kanisa lina wachungaji 8,400 hao ni regustered pastors. Hamkuelewa Hesabu ya JG, kwa jumapili moja kuna capacity ya watu at least 30000 na ibada zenye watu wengi hufika 70,000 like mwaka mpya lakini ujue kuna ibada nne kwa wiki so piga hesabu ya mahudhurio weekly kwa ibada zote nne.
Na ibada zote watoe sadaka ya average 1000, hapi tuna realise wanaotoa 10,000 na wengine zaidi. U can imagine kiasi gani kanisa linapata. Pili, helcopta ni mali ya kanisa ambayo ni organisation sio mtu binafsi, na organization imesajiriwa mwaka 1997. U can imagine kuwa R44 ya $700 itashindwa kununua. Hii ni kuwaza kwa kutumia kitu kingine na si akili.