Josephat Gwajima akana utajiri wake

Josephat Gwajima akana utajiri wake

Kwa nini wahoji mali binafsi? Kwa nini wasioji uhalali wa kanisa lake?
 
Gwajima anasema, hana kitu ila wanamwonea wivu tu, sasa wanamwonea wivu wa nini kama hana kitu??????????!!!!!!
 
Mleta mada hacha uchonganishi unajua maana ya neno "kumvaa mtu"au umeandika tu kupotosha watu?Ngwajima katoa kama ombi kwa mtukufu raisi kwani hawa wote wachavuzi wa nchi wapo chini yake.kumvaa mtu ni kama vile alivyofanya kwa Pengo.
 
mpelekeeni habari kuwa tunamsema
yule mtoto wa Flora mbona kafanana naye?
angetoa BORITI katika jicho lake ndipo akayatafute ya Pengo au Emma Mbasha
hapo MUNGU atamsamehe
 
Waumini wake wakamchangia mamilioni papo hapo..............................
Hali za wachangaji ni ...........................
Wakati anayechangiwa pesa ni ........................
 
Kwa hiyo hataki kuongea na mbwa wanaomsakama anataka mwenye mbwa ndo atoe tamko?
 
mpelekeeni habari kuwa tunamsema
yule mtoto wa Flora mbona kafanana naye?
angetoa BORITI katika jicho lake ndipo akayatafute ya Pengo au Emma Mbasha
hapo MUNGU atamsamehe

Leta picha ya mtoto na ya Gwajima, tuifanyie comparison wote, yawezekana una macho kama ya Kova
 
Leta picha ya mtoto na ya Gwajima, tuifanyie comparison wote, yawezekana una macho kama ya Kova
Mimi sipo patakapozuka TIFU na walokole wake maana wanasubiri DNA tu

  • linganisha pua ya mtoto na baba yake halisi utampata tu
  • linganisha paji la uso

attachment.php
 
Mimi sipo patakapozuka TIFU na walokole wake maana wanasubiri DNA tu

  • linganisha pua ya mtoto na baba yake halisi utampata tu
  • linganisha paji la uso

attachment.php
uwiiiiiiii..........kopi & pasti kwa mtoto!
 
Back
Top Bottom