Josephine Mshumbusi ajifungua

Hongera kwa kuleta kiumbe duniani, hivi huyu ni mtoto wa ngapi wa Dr. Slaa? naskia ana mabinti wakubwa tu. Ningependa niwe wa kwanza kupendekeza jina amuite Rizitwo

Hapo penye blue Rizi1 na Rizi2.........lol
 
Yule jamaa mwenye mke wake halali akisikia hii habari roho itamuuma sana! Mungu ampe nguvu awe na moyo wa uvumilivu na mungu atamlipia hapa hapa duniani!
Mnao mpongeza Dr Slaa KWA KUZAA HARAMU ni WANAFIKI wakubwa.
Kama mna mioyo ndani yenu nipeni mimi wake zenu niwazalishe.
Kwa kitendo hiki Dr Slaa hatasamehewa daima na huyo mume wa Josephine, na hata Yule aliye Juu hatamsamehe.

Hata hivyo itakuwa rahisi kusamehewa mna mume wa Josephine kuliko na Muumba wake.
 
Mchumba wa dr slaa amejifungua jana usiku pale hospital ya muhimbili saa tano usiku. MTOTO WA KIUME.
Hongera josephine, hongera slaa mtoto sio mchezo.

Hongera sana familia ya DR. Slaa -- mmetumeongeza KAPIGANAJI - inabidi ni nominate jina la NGOSHA. baada ya ile misukosuko ya Arusha bila woga.

NGOSHA stands for:
Mwanaume Jasiri asiye na woga, Mtu wa familia, Mpenda watu, Mwenye Nguvu na Akili, Mzalendo mtetezi wa wanyonge, kiongozi wa kaya / jamii
 
]

wewe unazaliwa kwenye ndoa? acha fitna
 
Mchumba wa dr slaa amejifungua jana usiku pale hospital ya muhimbili saa tano usiku. MTOTO WA KIUME.
Hongera josephine, hongera slaa mtoto sio mchezo.

amejifungua kawaida au kwa mkasi?
 
Kwa hayo huyo ndie awe Rais wa Watanzania, wengi wao hawapendi kuvunja amri za Mungu. Inashangaza sana.
Kwani marais waliyoitawala na anaendelea kuitawala nchi hii hakuna ambaye alishawahi kutemea na mke wa mtu?wewe binafsi ujawahi kutoka nje ya ndoa yako?aliyekutoa usichana ndiye huyo unaeishi naye?jiulize kwanza kabla ya kusema neno lolote linalofika kinywani mwako!!
 
Ingekuwa Marekani, slaa angekuwa ameshafilisika kisiasa ila kwa kuwa bongo hamjali personal issues basi ndo twasema hewala
 
Mchumba wa dr slaa amejifungua jana usiku pale hospital ya muhimbili saa tano usiku. MTOTO WA KIUME.
Hongera josephine, hongera slaa mtoto sio mchezo.

Hongera Dr. Slaa

Hongera Josephine
 

Acha wivu wa kitoto
 
Tukiwaheshimu watu na hasa mtoto aliyezaliwa itapendeza zaidi.


asante WOS......nimesoma comment ya Rejao mpaka mwili ukaniccmka, jamani jaribuni kupunguza masihara, sio kila thread mchanganye na upuuzi ili mradi mme comment na pia nadhani wengi wenu hamjui utamu/raha ya kuleta kiumbe kipya duniani tena salama kabisa, ni jambo la kumshukuru Mungu sana sana, hayo mengine cjui ya mjukuu na nn nyie hayawahusu coz hakuna anaezuiwa kupata mtoto hata akiwa na miaka 100..mkue kidogo jamani....hongera sana Josephine....
 
Hongera Mama Mshumbuzi hongera Dr Slaa.Angalizo mtoto avae nguo za watoto.Magwanda avae akifikisha miaka mitano.
 
Hongereni sana na Mungu awatie nguvu na kumkuza mtoto vema,be blessed all
 
Mkuu, vipi wewe ikitokea kwa mfano John Komba, kampa mimba mke wako wewe utajiskiaje?
 
Acha unafiki wewe,hatasamehewa kwani wewe ni Mungu? Acha umbea wewe au na wewe unataka chako...?
 
Mchumba wa dr slaa amejifungua jana usiku pale hospital ya muhimbili saa tano usiku. MTOTO WA KIUME.
Hongera josephine, hongera slaa mtoto sio mchezo.

Naanza kwa kuwashukuru wote,naheshimu mawazo na mchango wa kila mmoja kwani kila mtu ananena kilichomo ndani ya moyo wake.Jambo moja tu naloweza kusema sikumpata mtoto kwa bahati mbaya wala kumbahatisha,nilimtamani na kumuhitaji hivyo namshukuru Mungu ameniwezesha,kwangu mimi ni mtoto wa thamani sana Namtukuza Mungu wakati wote.
kwenu ninyi mnaomtamkia maneno yafedheha nayarudisha kwenu na familia zenu,Mungu aliyeniumba hajanihesabia dhambi iweje ninyi?

Hatutayumbishwa na maneno ya watu tutamuangalia Mungu aliyetuumba kwani yeye ndiye taa na nuru yetu wakati wote,anayajua mapito yetu lakini pia anaijua kesho yetu.Yeye ndiye aliyetuwezesha kama angetuhukumu kama baadhi yenu hapa basi alikuwa na uwezo wakuzuia kila kitu kisiwezekane.Najua jambo moja tu Njia zake siyo kama za mwanadamu.Mungu awabariki.
 
Hongera dk slaa na 1st lady wa ukweli tunakiombea kidume kikue ktk msimamo wa ki cdm zaid
 
Wenye wivu wajinyonge. Kuzaa ni ruksa umri wowote as long as una uwezo wa kulea. Umri wa slaa hauna tofauti na Kikwete. Mbona naye anaendelea kuzaa daily? Au tuwaambie siri? Niseme nisiseme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…