KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
wewe unapata faida gani na hii kitu? Mbona talaka za mama zenu hamzileti hapa jukwaani?
lakini mheshimiwa unataka kutuambia wewe au cdm wengine wanaomwita yule mwingine baba ridhiwani wake zake?basi jamaa ameoa cdm wengi sana kama hivyo!anaestahili kumuita mtu "baba fulani" ni mkewe tu. Ndie mwenye uhakika na hilo. Sisi wengine tuendelee kumuita kwa jina lake tu.
mbona bidii ya ku shut down hii kitu inakua kubwa? kuna nini kinafichwa hapa?
ukikua utaachabi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.
Poor minded only can discuss this foolish thread.
Usilitaje bure jina la bwana mungu wako! maana mungu atamchukulia ana hatia mtu alitajaye jina lake bure!Mungu wangu we!, thread imeshachakachuliwa kutokana na ushabiki wa kisiasa sina uhakika kama aliyeanzisha alikuwa na lengo hili.
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.
Mzee FATAKI kazini.Alitaka tumpe Urais kumbe ni mwizi wa wake za watu!
Kumbe Josephine hajawahi hata kupewa talaka na Bw.Mahimbo?
kwa kiswahili fasaha huu ni ufuska uliokubuhu.
Mwita.....Sidhani kama kuna haja ya kumjibu WC kwa kiroja.....Ulipaswa kumjibu kwa hoja....Kama ni kweli Josephine ameenda kudai Talaka mahakamani itakuwa ni issue,hii itakuwa na maana kwamba Dr. Slaa ameishi kinyumba na kuzaa na mke wa mtu kitu ambacho katika hali ya kawaida ni kosa.....Kwamba Dr. Slaa amezaa na mke halali wa bwana Mahimbo(maana bado hawajaachana kisheria,hawajatalikiana.....)Samahani mkuu, hili swali halistahili kuulizwa na mwanaume (mara zote nimekuwa nikiamini kwamba wewe ni he!!), kama nilikuwa wrong unisamehe bure.
First Lady (aliyetarajiwa) anafungua kesi mahakama ya mwanzo manzese, au jina limefanana!
Hata huwa sielewi kwanini watu tunapenda kufatilia maisha binafsi ya watu
Ndo maana maandiko yalisema kabisa ..aliyemsafi na awe wa kwanza kurusha Jiwe kwa yule mama kufumba na kufumbua hakuna hata mmoja aliyebakia
mambo ya mapenzi bwana kuna ups na down mpaka pale unafika sehemu na kuona sasa hapa natua mizigo yangu na kupumzika .
:embarassed2::embarassed2:
.
mkuu edo, huu ndo wanaita utumwa wa kujituma ambao inasemekana ni mbaya zaidi ya ule wa kutumwa!First Lady (aliyetarajiwa) anafungua kesi mahakama ya mwanzo manzese, au jina limefanana!
wewe yanakuhusu nini haya?