Josephine Mushumbuzi amfikisha kortini mumewe Mahimbo kudai talaka

Josephine Mushumbuzi amfikisha kortini mumewe Mahimbo kudai talaka

wewe unapata faida gani na hii kitu? Mbona talaka za mama zenu hamzileti hapa jukwaani?

Huyu atakua slaa katika ID nyingine ya kutukania!Mods fungieni hii mtu toka imeanza kutukana hamuichukulii hatua kwa sasa ya cheo chake au?
 
Hata huwa sielewi kwanini watu tunapenda kufatilia maisha binafsi ya watu
Ndo maana maandiko yalisema kabisa ..aliyemsafi na awe wa kwanza kurusha Jiwe kwa yule mama kufumba na kufumbua hakuna hata mmoja aliyebakia
mambo ya mapenzi bwana kuna ups na down mpaka pale unafika sehemu na kuona sasa hapa natua mizigo yangu na kupumzika .
:embarassed2::embarassed2:
.
 
anaestahili kumuita mtu "baba fulani" ni mkewe tu. Ndie mwenye uhakika na hilo. Sisi wengine tuendelee kumuita kwa jina lake tu.
lakini mheshimiwa unataka kutuambia wewe au cdm wengine wanaomwita yule mwingine baba ridhiwani wake zake?basi jamaa ameoa cdm wengi sana kama hivyo!
 
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.
ukikua utaacha
 
Poor minded only can discuss this foolish thread.

Na wewe utakuwa ni mmoja wao maana uwesha comment, ka unahisi una akili sana usingeangaika kuifungua hii thread.
 
Katika dunia ya sasa ambayo wanawake ni wengi kuliko kawaida lijimwanaume linamnyang'anya mwenzake mke? Aaaaarghh!
 
Mahimbo angekuwa mtu wa mikoa ile ninayoijua angesha mkata mapanga mgoni wake aliyetaka kuwa Rais wa nchi hii.
 
Mungu wangu we!, thread imeshachakachuliwa kutokana na ushabiki wa kisiasa sina uhakika kama aliyeanzisha alikuwa na lengo hili.
 
... Ipo siku tutakuwa na First Lady wa aina hii?

Ee Mungu Epusha.
 
Mungu wangu we!, thread imeshachakachuliwa kutokana na ushabiki wa kisiasa sina uhakika kama aliyeanzisha alikuwa na lengo hili.
Usilitaje bure jina la bwana mungu wako! maana mungu atamchukulia ana hatia mtu alitajaye jina lake bure!
 
SOurce MKUU!
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.
 
Alitaka tumpe Urais kumbe ni mwizi wa wake za watu!
Kumbe Josephine hajawahi hata kupewa talaka na Bw.Mahimbo?
kwa kiswahili fasaha huu ni ufuska uliokubuhu.
Mzee FATAKI kazini.
 
Samahani mkuu, hili swali halistahili kuulizwa na mwanaume (mara zote nimekuwa nikiamini kwamba wewe ni he!!), kama nilikuwa wrong unisamehe bure.
Mwita.....Sidhani kama kuna haja ya kumjibu WC kwa kiroja.....Ulipaswa kumjibu kwa hoja....Kama ni kweli Josephine ameenda kudai Talaka mahakamani itakuwa ni issue,hii itakuwa na maana kwamba Dr. Slaa ameishi kinyumba na kuzaa na mke wa mtu kitu ambacho katika hali ya kawaida ni kosa.....Kwamba Dr. Slaa amezaa na mke halali wa bwana Mahimbo(maana bado hawajaachana kisheria,hawajatalikiana.....)
 
First Lady (aliyetarajiwa) anafungua kesi mahakama ya mwanzo manzese, au jina limefanana!
 
First Lady (aliyetarajiwa) anafungua kesi mahakama ya mwanzo manzese, au jina limefanana!

te he he heeeeunanchekesha.ulitaka afungue Masaki?Jifunze taratibu za kishera ili ujue kabla ya kuja kuchekesha watu hapa.
 
Hata huwa sielewi kwanini watu tunapenda kufatilia maisha binafsi ya watu
Ndo maana maandiko yalisema kabisa ..aliyemsafi na awe wa kwanza kurusha Jiwe kwa yule mama kufumba na kufumbua hakuna hata mmoja aliyebakia
mambo ya mapenzi bwana kuna ups na down mpaka pale unafika sehemu na kuona sasa hapa natua mizigo yangu na kupumzika .
:embarassed2::embarassed2:
.

mamaa kwa kwanza
Ukiwasoma watu humu unaweza kufikiri ati Tanzania imejaa malaika!
Wanaochangia hii mada ukiwachunguza hukosi kukuta zaidi yaa asilimia 80 wameshatongoza wake za waatu kama siyo kuwavua.
Bila aibu wanakuja hapa kujidai wako wasafi kumbe wameoza.Mke wa mtu kwani ni kitu au mtu hadi useme Dr Slaa kaiba mke wa mtu?Wanawake wanaonyanyaswa na wanaume wanayo second chance to love and be loved na ndicho kilichotokea.Msione wanakaa kimya na manyanyaso yenu mkadhani kilichompata Mahimbo hakiwezi kuwapata.subirini.
 
First Lady (aliyetarajiwa) anafungua kesi mahakama ya mwanzo manzese, au jina limefanana!
mkuu edo, huu ndo wanaita utumwa wa kujituma ambao inasemekana ni mbaya zaidi ya ule wa kutumwa!

Mimi sijavutwa sana na topic hii lakini nimevutwa na jinsi unavyotofautisha maeneo kama Manzese, Masaki, Buza, Isamilo, Hamgembe, Bumbiire, Nkasi, Namtumbo, Sombetini, Majengo nk.

Mpaka utakapojua kuwa Tanzania ni moja na sheria ni moja ndipo ukombozi wako utakuwa umekamilika na kuweza kuongea kama Mtanzania, so does not make any difference so long as you are within the boundaries of this blessed territory.
 
Back
Top Bottom