Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
-
- #441
Mmh..!! Mbona umeenda mbali sana
Hiyo sura inahusikaje hapa?!Al-An´am
1 - Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu aliye umba mbingu na ardhi, na akafanya giza na mwangaza. Tena baada ya haya walio kufuru wanawafanya wengine sawa na Mola wao Mlezi
Ni tafaqur ya kawaida tu mkuu....[emoji144]Hiyo sura inahusikaje hapa?!
Hahaha hapana nipo hapahapa TanzaniaMimi nilidhani umenaswa pamoja na Bombardier yetu pendwa kule Canada
Karibu sana mkuu
Oky nafurahi kukuona tena humuuu mi nilipokukosa nikawa naona uvivu hata kuingia humu.....
Umerudi hope tutakuwa pamoja
Hapa ndipo napowapa credit modsSafi sana dogo..unapoheshimu wakubwa wako unapata maarifa.
Hongera sana kilichobaki uoge na upige mswaki vizuri kutoa iyo harufu mbaya mdomoni.
Karibu sana
Shukrani sana mkuu
Usijali mwayaAsante nashukuru Sista... hao watu siwaelewi wana lengo gani haswa, sasa sijui ni kuharibiana majina au ni vipi yaani....