Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Jamaa amedisco chuo kwaajili ya kukesha jf bila manufaa yoyote, hyu kijana ni wa kuhurumiwa sana, kwa sasa ana frustration kubwa mno,. Ukimuona utamuonea huruma. Ni mchizi wangu.
ahahah umenichekesha sana mkuu.
 
Blaza usifanye hivyo hii number yako katika first 11 ya jf comment haina sub,we ndo comment striker wa ukweli humu jf[emoji146] [emoji146] [emoji146] [emoji146] [emoji146]
ahahah sawa mkuu
 
Back
Top Bottom