Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Sawa,
Je ulikua wapi??
Au ni i kilikuzuia kuingia humu??
 
Sawa,
Je ulikua wapi??
Au ni i kilikuzuia kuingia humu??
Hili nalo pia nimeshalitolea ufafanuzi mkuu... fatilia comments huko juu utaona..asante

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Mbona picha umeipausha kama ALBINO aisee!
Nimefanya hivyo kwa sababu maalum kuna watu wengine wanaitumia...na watu wakiiona wanadhani ni mimi kumbe sio, na nimeshakanusha sihusiki na hizo IDs nyingine zenye avatar kama hii ndio maana nikaweka hii nitofautiane nao..umenielewa??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Nina wasiwasi wewe ndo The bold
 
Joseverest umeibiwa tena Avatar nA huyu
Hamisa alitaka cheo kwa nguvu sasa kadhalilika maskini

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…