Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Naskia ulipata frustration baada ya kudisco chuo, pole mkuu kuna maisha ata bila chuo
 
Karibu ughaibuni mende wamearibu grid ya taifa umeme unakatika kweli
 
Mkuu hiyo namba nane (8) ni kweli mods wana mademu humu majukwaani kama ulivyoandika?
 
ASsalaam Aalaykm.
Pole sana na Dhanna potevu za humu janvini
 
Where have you been Bro!? We're worried about. I am glad to see you and hopefully to take care of you original position. There were so many people who were acting on you behalf. πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Hii lugha gani?
Kama ni kimakonde niitieni Seneta wa Mtwiz
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenye video ya Charlie Chaplin atupie hapa tumburudishe mgeni
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…