Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

siku hizi nimestaafu [emoji56] [emoji56] [emoji56]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaogopa sheria ya mtandao au kwa kuwa watu wengi wamechukua avatar yako
 
Jamaa amedisco chuo kwaajili ya kukesha jf bila manufaa yoyote, hyu kijana ni wa kuhurumiwa sana, kwa sasa ana frustration kubwa mno,. Ukimuona utamuonea huruma. Ni mchizi wangu.
ahahah umenichekesha sana mkuu.
 
Blaza usifanye hivyo hii number yako katika first 11 ya jf comment haina sub,we ndo comment striker wa ukweli humu jf[emoji146] [emoji146] [emoji146] [emoji146] [emoji146]
ahahah sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…