Joshua alilisimamisha Jua



weka huo mstari wa biblia tukuelewe zaidi
 
Hahahaa nimekuelewa, kwa hiyo kwenye uongo wakaamua kucheza na beat.
 
ungeanza kujiuliza kwa nini hadi kipindi hiki cha kisayansi kuna maneno SUNST na SUNRISE.

unatumia uwezo wa awali tu, kuwa alimaanisha kinachomaanishwa na wanasayansi sasa kwa lugha ya awali ambayo inaeleweka haraka
Science inajichanganya mno. Sunset&Sunset bado wanasema jua halitembei sasa litazamaje!???
Ninachojua Kusema Joshua alisimamisha jua ni kweli wala biblia haijakosea maana ikiwa ilikuwa saa nane basi jua lilibakia pale pale saa nane bila kuzama, ikiwa jua lingetembea means masaa nayo yangesonga mbele.
 
Hiyo inamaana pia kuwa dunia ilisimama kujizungusha katika muhimili wake...na jua likaonekana angani kama halisogei kuelekea kuzama.
 
Biblia inatumia imani kuwaelekeza watu jambo fulani,lakn science inatumia observation and experimentation,kwa hyo kinachooandkwa kwenye Biblia Mara nyingi hakina uhusiano na kile kilichopo kwenye science!
But Suala la dunia Kulizunguka Jua ni True na Si Fiction!
 
Mambo mengine ukijiuliza sana unaweza weuka na kukosa majibu
 
Story tu hizi,
 
Ndio maana February in siku 28 mwaka mfupi na 29 mwaka mrefu baada ya Joshua kusimamisha Jua kwa siku moja.
ila ilitakiwa ule mwaka aliosimamisha jua ndio uwe na siku 28/29. Sio kila mwaka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…