Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nasari, ametua kwa kishindo mkoani Arusha na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo hilo ofisi za Tume ya Uchaguzi zilizopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
Tukio hilo limehudhuriwa na wananchi waliomsindikiza kwa hamasa kubwa, wakionesha imani na matumaini yao kwake kuelekea uchaguzi siku
Baada ya kurejesha fomu, Nasari alizungumza na wananchi na kuwaahidi kuleta maendeleo ya kweli endapo atapewa ridhaa ya kuwa mbunge wao.
Aliahidi kuboresha miundombinu ya barabara, kuhakikisha upatikanaji wa maji safi, pamoja na kushughulikia kero nyingine za kijamii.