Uchaguzi 2020 Joshua Nassari amuomba radhi Rais Magufuli kwa mabaya yote aliyomtendea akiwa CHADEMA!

Uchaguzi 2020 Joshua Nassari amuomba radhi Rais Magufuli kwa mabaya yote aliyomtendea akiwa CHADEMA!

Nitakuwa Kiongozi wa Malaika Mbinguni...wakapiga Superglue
sheed.png
 
Dogo angekuwa Chadema ubunge ungekuwa halali yake tena lakini akanunulika sasa anajuta kuliona game changer Lissu anavyowakimbiza mpaka hilo jiwe lao
Jiwe ndio likageuka kuwa game changer hatari, mpaka sasa mbuge wa kuchaguliwa na wananchi kutoka chadema inasoma namba moja tu.... Hahahaahaahahaaa! Lisu bado yupo uhamishoni babeli.
 
Yupo sahv anarandaranda!
Ubunge anausikia kwenye bomba tu
Ajira za mshahara mln 1,2 hawezi fanya

Ova
 
Back
Top Bottom