incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Wakuu nadhani ipo haja sis wasanii chipukizi kuwatafuta Waanzilishi wa Mziki wa Bongo Fleva Ambao mchango Wao umepelekea Mziki Wa Tanzania kufikia hapa ulipo Kwa kuwatafuta na kufanya nao Collaboration ili kuonesha Shukrani na kujaribu kuwa enzi na kuonesha Mchango wao katika Tasnia ya huu Mziki wetu wa Kitanzania Siyo kila msanii chipukiz utaskia anataka Afanye collabo na HARMONIZE, MAVOCO,RAYVANY,BARACKA DA PRINCE, Etc, Jaman mimi napenda Yeyote Mwenye namba ya JOSLEENE, Aniwekee hapa kwani ni Msanii ambae kisema kweli nilikuwa namkubali na Bado ninao uhitaji wa Kumrudisha kwenye game Kwani naamin Bado brother anaweza kurudi kwenye game na kufanya vizuli vle vle!
Heshima kwenu Wote ambao Mnautambua Mchango Wa Josleene katika Game la Bongo flevar! Pia ningependa tujulishane hapo alipo josleeni anafanya nini?????
Heshima kwenu Wote ambao Mnautambua Mchango Wa Josleene katika Game la Bongo flevar! Pia ningependa tujulishane hapo alipo josleeni anafanya nini?????