JOSlEEN ANATAFUTWA?

JOSlEEN ANATAFUTWA?

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Wakuu nadhani ipo haja sis wasanii chipukizi kuwatafuta Waanzilishi wa Mziki wa Bongo Fleva Ambao mchango Wao umepelekea Mziki Wa Tanzania kufikia hapa ulipo Kwa kuwatafuta na kufanya nao Collaboration ili kuonesha Shukrani na kujaribu kuwa enzi na kuonesha Mchango wao katika Tasnia ya huu Mziki wetu wa Kitanzania Siyo kila msanii chipukiz utaskia anataka Afanye collabo na HARMONIZE, MAVOCO,RAYVANY,BARACKA DA PRINCE, Etc, Jaman mimi napenda Yeyote Mwenye namba ya JOSLEENE, Aniwekee hapa kwani ni Msanii ambae kisema kweli nilikuwa namkubali na Bado ninao uhitaji wa Kumrudisha kwenye game Kwani naamin Bado brother anaweza kurudi kwenye game na kufanya vizuli vle vle!

Heshima kwenu Wote ambao Mnautambua Mchango Wa Josleene katika Game la Bongo flevar! Pia ningependa tujulishane hapo alipo josleeni anafanya nini?????
 
Wewe kweli chipukizi yaan Joslin kwako ni mmoja wa waasisi wa Bongo flava?
 
Unataka kumrudisha kwenye game??..We ushatoka tayari?
No bro ni moja ya ubunifu pia! kwan namwelewa sana josleen na naamin nikifanya nae kaz watanzania wataweza kuipokea vzur kwani naamin ni msanii ambae anaweza na alikuwa anajua anachokifanya
 
Wakuu nadhani ipo haja sis wasanii chipukizi kuwatafuta Waanzilishi wa Mziki wa Bongo Fleva Ambao mchango Wao umepelekea Mziki Wa Tanzania kufikia hapa ulipo Kwa kuwatafuta na kufanya nao Collaboration ili kuonesha Shukrani na kujaribu kuwa enzi na kuonesha Mchango wao katika Tasnia ya huu Mziki wetu wa Kitanzania Siyo kila msanii chipukiz utaskia anataka Afanye collabo na HARMONIZE, MAVOCO,RAYVANY,BARACKA DA PRINCE, Etc, Jaman mimi napenda Yeyote Mwenye namba ya JOSLEENE, Aniwekee hapa kwani ni Msanii ambae kisema kweli nilikuwa namkubali na Bado ninao uhitaji wa Kumrudisha kwenye game Kwani naamin Bado brother anaweza kurudi kwenye game na kufanya vizuli vle vle!

Heshima kwenu Wote ambao Mnautambua Mchango Wa Josleene katika Game la Bongo flevar! Pia ningependa tujulishane hapo alipo josleeni anafanya nini?????
Mi nimependa threads zako hazihusu zile habari za watu wawili kila siku kwenye hilo hongera na naona hata hapa umekwepa kuwatajataja safi sana. Ila umefeli tu uliposema Josleen ni legendary,lakini hebu mcheki Makamua yeye anaweza kukupa mawasiliano makamua mkalikwanza (@makamua_sugarcane) • Instagram photos and videos
 
Sawa mkuu akipendacho mtu moyo jamaa nilitokea kumwelewa kuliko msanii yeyote yulee kwa sauti yake na nyimbo zake ni moja ya nymbo ambazo nikiwa peke yangu lazma niziskilize na ninaamin ipo sku ntafanikiwa kufanya nae kazi kwan bado naamin akipata pande atasimama vzur vle vle!
 
Lakini si umeona hapo nimekuelekeza uingie kwa Makamua.
 
yupo sokoni tandale anapokea kodi ya choo kwa kila anaeingia
 
Back
Top Bottom