Josua alikua msaidizi wa Musa kwa Miaka 40+. Lissu miakamitano tu kashautaka ukuu

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Wale wasoma maandiko mnaelewaje hii?.

Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force. Je, ameshindwa kusubiri wakati wa Mungu ufike? . Je, atashinda kweli?
 
Sasa wakati wa Mungu ni baada ya miaka mingapi?
 
Zamani kwenye maandiko walikuwa wanaishi miaka mingi siku hizi dunia inaenda kasi sana
 
Duu! nilikuwa simuamini Sumaye, kumbe kweli ukigusa uenyekiti ni hatari sana.
 
Wale wasoma maandiko mnaelewaje hii?.

Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force. Je, ameshindwa kusubiri wakati wa Mungu ufike? . Je, atashinda kweli?
hii ya miaka 40+ imetoka msitari gan kwa biblia maana mm najua tu Joshua alikuwa msaidiz wa Musa ww unajua mpaka miaka ebu nipee msitar nikajisomee na mm
 
Zitto Kabwe kaanzisha chama yeye mwenyewe kakaa miaka kumi karidhika japo wanachama wote walitamani aendelee na hadi leo anaheshimika sana ACT-wazalendo Why this dude
 
Unaijua maana ya miaka 40 ya Kimungu
Naijua sana.

Miaka ya Mungu ni ya kawaida sana. Afu kuna miaka ya kiunabii ambayo iko kwenye kitabu cha Daniel, Ufunuo na Ezekiel. Vitabu vingine viko na miaka ya kawaida tu.
 
Zitto Kabwe kaanzisha chama yeye mwenyewe kakaa miaka kumi karidhika japo wanachama wote walitamani aendelee na hadi leo anaheshimika sana ACT-wazalendo Why this dude
Kaondoka Zitto ila chama bado kinamhitaji na ACT imeanza kuchechemea tangu aondoke hakuna la maana.
 
hii ya miaka 40+ imetoka msitari gan kwa biblia maana mm najua tu Joshua alikuwa msaidiz wa Musa ww unajua mpaka miaka ebu nipee msitar nikajisomee na mm
Musa alipokuwa na umri wa miaka 40, alijikuta taabani alipompiga Mmisri aliyekuwa akimpiga mtumwa Mwisraeli. Musa alikimbilia nchi ya mbali, alikoishi uhamishoni. Musa alipokuwa na umri wa miaka 80, Yehova alimtuma arudi Misri, asimame mbele ya Farao na kudai watu wa Mungu waachiliwe.

Musa alikuwa na miaka 120 na Mungu akamwambia kuwa mwisho wa maisha yake umekaribia.Alimsihi BWANA ili amruhusu kuingia katika Nchi ya Ahadi,lakini aliruhusiwa tu kuiona nchi Ahadiakiwa juu ya kilele cha mlima Nebo,kilicho katika nchi ya Moabu Hes 27;12-14);
 
Zamani kwenye maandiko walikuwa wanaishi miaka mingi siku hizi dunia inaenda kasi sana
Una point usikilizwe.

Ila kwenye Utawala haina cha miaka mingapi. Unaweza ukawa na miaka 70 ukawa Rais. Mwingine miaka 50 tu anakuwa Rais.
 
Musa alipokuwa na umri wa miaka 40, alijikuta taabani alipompiga Mmisri aliyekuwa akimpiga mtumwa Mwisraeli. Musa alikimbilia nchi ya mbali, alikoishi uhamishoni. Musa alipokuwa na umri wa miaka 80, Yehova alimtuma arudi Misri, asimame mbele ya Farao na kudai watu wa Mungu waachiliwe.

Musa alikuwa na miaka 120 na Mungu akamwambia kuwa mwisho wa maisha yake umekaribia.Alimsihi BWANA ili amruhusu kuingia katika Nchi ya Ahadi,lakini aliruhusiwa tu kuiona nchi Ahadiakiwa juu ya kilele cha mlima Nebo,kilicho katika nchi ya Moabu Hes 27;12-14);
sasa mwanzo wa utumishi wa joshua kama msaidizi wake ulianza lini???
 
Back
Top Bottom