Sasa wakati wa Mungu ni baada ya miaka mingapi?Wale wasoma maandiko mnaelewaje hii?.
Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force. Je, ameshindwa kusubiri wakati wa Mungu ufike? . Je, atashinda kweli?
hii ya miaka 40+ imetoka msitari gan kwa biblia maana mm najua tu Joshua alikuwa msaidiz wa Musa ww unajua mpaka miaka ebu nipee msitar nikajisomee na mmWale wasoma maandiko mnaelewaje hii?.
Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force. Je, ameshindwa kusubiri wakati wa Mungu ufike? . Je, atashinda kweli?
Kaondoka Zitto ila chama bado kinamhitaji na ACT imeanza kuchechemea tangu aondoke hakuna la maana.Zitto Kabwe kaanzisha chama yeye mwenyewe kakaa miaka kumi karidhika japo wanachama wote walitamani aendelee na hadi leo anaheshimika sana ACT-wazalendo Why this dude
Musa alipokuwa na umri wa miaka 40, alijikuta taabani alipompiga Mmisri aliyekuwa akimpiga mtumwa Mwisraeli. Musa alikimbilia nchi ya mbali, alikoishi uhamishoni. Musa alipokuwa na umri wa miaka 80, Yehova alimtuma arudi Misri, asimame mbele ya Farao na kudai watu wa Mungu waachiliwe.hii ya miaka 40+ imetoka msitari gan kwa biblia maana mm najua tu Joshua alikuwa msaidiz wa Musa ww unajua mpaka miaka ebu nipee msitar nikajisomee na mm
sasa mwanzo wa utumishi wa joshua kama msaidizi wake ulianza lini???Musa alipokuwa na umri wa miaka 40, alijikuta taabani alipompiga Mmisri aliyekuwa akimpiga mtumwa Mwisraeli. Musa alikimbilia nchi ya mbali, alikoishi uhamishoni. Musa alipokuwa na umri wa miaka 80, Yehova alimtuma arudi Misri, asimame mbele ya Farao na kudai watu wa Mungu waachiliwe.
Musa alikuwa na miaka 120 na Mungu akamwambia kuwa mwisho wa maisha yake umekaribia.Alimsihi BWANA ili amruhusu kuingia katika Nchi ya Ahadi,lakini aliruhusiwa tu kuiona nchi Ahadiakiwa juu ya kilele cha mlima Nebo,kilicho katika nchi ya Moabu Hes 27;12-14);