Joti anapoelekea watu watalazimika kumu "unfollow"

Joti anapoelekea watu watalazimika kumu "unfollow"

Aisee nilipokuwa youtube nikajikuta napitia video ya huyu jamaa.....Dah Sikuwa nikijua kama jamaa kafikia stage hii....Yani video zote kavaa mavazi ya kike na kujishebedua kama mdada....Na make up kabisaaaaaaaaa.....

Hivi lengo lake ni kuchekesha au nini?....Maana sioni anything funny kujifananisha wa mwanamke....Vichekesho vya namna hii huenda watu wa miaka ya 80 na 90 ndo wangekuwa wanacheka...Its soooo boring kiasi kwamba inaudhi na kukera...

Jamaa naona kama kaishiwa flani hivi...Kiasi kwamba analazimisha sasa kubaki on top...Kwani mbona wapo wachekeshaji maarufu duniani ambao hawachuji na hawavai upuuzi huo...Mchekeshaji inabidi hata akivaa suti tu akizungumza mtacheka, lakini hii style mwisho wa siku utanogewa na kuanza kutafunwa (Kama bado)...

Badilika mjombaaa

Kwani umesahau joti nae ni mwanaume Wa dar?
 
Kuitwa anti kunaanza taratibu bado kidogo utaskia hawahawa wanaomshabikia wanauliza kuwa kama kweli jamaa si anti mbona haoi?
 
joti-ndi-ndi-ndi-559x520.png
joti.jpg
Dah! Kumbe kazuri kanafaa kulimangia
 
Back
Top Bottom