Joti, "Awawezi kutushusha labda watoke na roho zetu mimi na Diamond "

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066


Akiunga mkono kauli aliyotoa Diamond wakati anahojiwa na TimesFm.... Joti nae ameunga mkono msimamo wa Diamond wa kutokubali kubuluzwa na media.

Diamond kwa kujiamini alisema wakati wa kuwa watumwa wa media umepitwa na wakati na haitokaa itokee apotezwe na media.

Kwa taarifa tu ni kwamba media zilizofungia content za Diamond ndio pia zimefungia content za Joti kwa muda mrefu.
 


Sasa jiulize, kwa akili yako unafikiri Diamond yuko sawa? Nyimbo zake zimefungiwa kwa sababu hazing maadili, hata huko Marekani HAKUNA wimbo usio na maadili unapigwa redioni bila kuwa edited, yeye Diamond nani mpaka asifungiwe? Akiona vipi ahame tu nchi, tunataka wanamuziki wa kweli si wababaishaji.
 

Nadhani ili sio jukwaa lako ndio maana hujui kinachoendelea. Diamond na Joti hapa awazungumzii mambo ya Basata.
 
Mkuu embu niambie wimbo wa hallelujah umefungiwa kwann
 

Mkuu, maadili kila kukicha yanabadilika. Zamani ilikuwa ni jambo la ajabu sana kuona msanii wa filamu au bongo fleva akimla denda msichana ndani ya kazi yake ya sanaa, ila mambo yalivyoanza kuonyeshwa hakuna aliyepaza sauti kulalamika. Jaribu kuipitia nyimbo ya Dully ile Bijou na ya Daz Nundaz Jahazi la Daz. Humo ndani watu waliliwa mate live na tuliendelea kutazama tu.
Wimbo wa Matonya ule Vaileth, dada wa mule ndani alikuwa uchi kabisa japokuwa alionyeshwa akiwa upande wa pili wa kioo ila alionekana kawaida pia.
Kizazi kilianzia kuharibika huko, huko tulipobaki tunajikomaza tu.
Utamaduni wa muafrika ulishajifia yangu zama na zama.
 
kiba100 yoooooooh
 
Your not serious my friend !mybe not america i experience
 
Duh! Mkuu, mbona unachanganya madesa? Hoja hapa ni baadhi ya media na/au wadau kutaka wanyenyekewe na wasanii!!

But anyway, acha nami niende kasi ya mwendokasi wa HAPA KAZI TU!

Sikiliza wimbo ufuatao kwa makini... zingatia video na mashairi kisha nipe darsa wimbo umefungiwa kwa sababu zipi:
 
elewa post ndo ujibu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…