Heheheeheh
hehehhehe Jot mchekeshaji kama ujamuelewa ningumu.. Ongezea team PakaView attachment 725986
Akiunga mkono kauli aliyotoa Diamond wakati anahojiwa na TimesFm.... Joti nae ameunga mkono msimamo wa Diamond wa kutokubali kubuluzwa na media.
Diamond kwa kujiamini alisema wakati wa kuwa watumwa wa media umepitwa na wakati na haitokaa itokee apotezwe na media.
Kwa taarifa tu ni kwamba media zilizofungia content za Diamond ndio pia zimefungia content za Joti kwa muda mrefu.