Joti kufunga ndoa Jumamosi hii

Tatizo la Joti ana utani mwingi, hili litakua tangazo
 
Sawa, ingawaje mi harusini hata kwa mtutu wa bunduki au risasi za lissu huwa siendi! Mtatuwakilisha

Subiri ifike yako au ya mtu wako wa karibu ndo utashangaa natamani nikujue ili nije nicheke vizuri, endekeza hy tabia
 
Subiri ifike yako au ya mtu wako wa karibu ndo utashangaa natamani nikujue ili nije nicheke vizuri, endekeza hy tabia
[emoji16][emoji16]wew ukienda utawakilisha wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…