GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hongera kwake wifi mzuri..
Anamzidi hata yule Demu ambaye alipewa ' Mimba ' na Ali Kiba ambapo hapa juzi kati walipiga picha ya pamoja wakiwa Mwanza na zimesambaa sana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwake wifi mzuri..
We unaonaje kwan![]()
Mtoa mada: Joti anaolewa au anaoa?
Mvue nguo nimwone sasa naonaje huku kavaaWe unaonaje kwan
Kama mimi ninavyoshangaa mkuu
Imagine unaambiwa huyu ni baba yako.![]()
Mtoa mada: Joti anaolewa au anaoa?
[emoji15] kwanini mkuuSawa, ingawaje mi harusini hata kwa mtutu wa bunduki au risasi za lissu huwa siendi! Mtatuwakilisha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe Joti ni Mwanaume
[emoji16]ndo bwana harusiMhhhh.....
Sina uhakika..[emoji45] [emoji45] View attachment 618083
Sawa, ingawaje mi harusini hata kwa mtutu wa bunduki au risasi za lissu huwa siendi! Mtatuwakilisha
[emoji16][emoji16]wew ukienda utawakilisha wengineSubiri ifike yako au ya mtu wako wa karibu ndo utashangaa natamani nikujue ili nije nicheke vizuri, endekeza hy tabia
Hakunaga Mababa wa hivi, labda awe baba wa mtu mwingine sio mimi.Imagine unaambiwa huyu ni baba yako.