Joti na Katiba Mpya; Wasanii na uteuzi, kilio cha maslahi

Joti na Katiba Mpya; Wasanii na uteuzi, kilio cha maslahi

Joti amebeza mchakato wa katiba mpya kwamba hauna tija;
kaka kama mfumo uliopo unampa ulaji yeye na familia yake anakula anashiba sasa unataka afanyaje? ukombozi wa kifikra ni jambo gumu mno. Kasahau kwamba yeye ataishi hapa Duniani si zaidi ya miaka 50 toka leo, hafikirii wanaokuja wakute Tanzania ina hali gani, watoto wake, wakukuu zake, so as long as anashiba leo so who cares anyway?
 
Katika iyo mikazi kuna masuala ya kukwepa kodi na janja janja ndipo hapo wanapolenga.. sio machawa wote wana njaa ya vyeo wwngine pesa wanazo ila wanajiweka karibu na mamlaka kwa ajiri ya ulinzi wa janja janja katika zao
Umeiweka vizuri sidhani kama Joti anawinda ukuu wa wilaya kwa dili alizonazo mjini.
 
Back
Top Bottom