Joti na mke,ni Tangazo la Tigo sio ndoa

Joti na mke,ni Tangazo la Tigo sio ndoa

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
618
image002.jpg
 
Niliona convoy ya hio harusi jana nikajua tu tangazo maana harusi Jumatatu doesn't make sense
 
Jana walipita barabara ya Morogoro karibu na Shekilango walipendeza sana! Na msafara babu kubwa! Watu walishangilia Jot kapata mke!
Kumbe tangazo la Tigo!
Makubwa
 
Anamwekea gundu dada wa watu ukute hajaolewa
 
Kumbe nilikuwa sahihi kusema sitoamini kitu toka kwa watu aina ya Joti!!
 
Back
Top Bottom