Joti Na Mkewe "HoneyMoon" Wakiwa Singita Grumeti Game Reserve Sabora Camp Serengeti

Aisee nimeingiwa na uwoga mkubwa sana, nilitaka kwenda huko na malaya wangu kumbe ndio kunasumbua hivo halaf promo nyingi kuweni wazalendo mkatembee mbuga
Wewe mwenyewe malaya sema naenda na malaya mwenzangu
 
Mkuu tunawawekea mtego kama ule wa tanesco soon watanasa unakumbuka waziri alipiga simu tanesco akajibiwa shit then kilichowapata mpaka sasa so soon tunanyoosha hifadhi zoote ujeuri utawaisha
 
Umesema kweli tupu!Mimi ni guide(Arusha),nimeshuhudia Mara nyingi wananchi wasio na majina wakisumbuliwa milangoni bila sababu za msingi.Pole ndugu!Hatujachelewa kabisa,Waziri aliyeko sasa, K ,anaweza kubadili hili .
 
Watalii pia walikuwa wanateseka ,kukaa milangoni masaa zaidi ya mawili ili kulipia viingilio.Leo hii wakikaa sana ni dk.10.Karibu mtanzania mwenzangu ufurahie hizi hifadhi zetu!
 
Safi sana. Staff wamemfurahia jamaa japo nimewaona wamekuwa kma watoto kushangilia ovyo
Hakika furaha ya hao staff ni furaha ya kweli,kule mara nyingi wanawahudumia watu wa nje ya Nchi yetu.Hongera Joti!popote ulipo watu lazima wawehuke kidogo.
 
Joti Na Mkewe "HoneyMoon" Wakiwa Singita Grumeti Game Reserve
Sabora Camp Serengeti
Yaani ndoa zikiwa kama HV safi sana,ije mvua,jua,ni mwendo wa tabasamu tu,safi sana,nawatakia maisha mema wadogo zangu,
 
Watalii pia walikuwa wanateseka ,kukaa milangoni masaa zaidi ya mawili ili kulipia viingilio.Leo hii wakikaa sana ni dk.10.Karibu mtanzania mwenzangu ufurahie hizi hifadhi zetu!
Mkuu nilikaa Nabi mpaka nikazoeana na hili jamaa
 
Inasemekana ni uwongo siyo harusi ni tangazo la chips snacks
 
Naumia sana kusikia maneno kama haya. Kama wahusika wamo humo wajitahidi kurekebisha hali hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…