Joti Na Mkewe "HoneyMoon" Wakiwa Singita Grumeti Game Reserve Sabora Camp Serengeti

View attachment 623974 View attachment 623974
Jumlisha na ubaguzi wa rangi mkuu! Ningehadithiwa ningebisha! Card yangu (master) niliyoitumia siku hiyohiyo pale karatu kufika getini naambiwa haifai!! Watu watatu pamoja na gari yetu tulitakiwa kulipa shilingi 77,800/, wale askari wa getini wakaniambia kwa kuwa kadi yangu haifai niwape wao shilingi 120,000 ili wanisaidie kulipa,nikawaambia hicho ni kiasi kikubwa mno,wakaniambia kama hutaki basi ondoa gari lako hapa sasa hivi!! Nikawauliza niliweke wapi wakati bado sijalipia? Nikawaambia wasubiri kuna mtu nimewasiliana naye anakuja kulipa,wakaondoka,baada ya dakika tatu tu wakarudi! Wakanishurutisha niondoe gari langu pale mara moja kwa kuwa nimekataa msaada wao hivyo sina nia ya kulipa! Wakati tunazozana pale mtu niliyewasiliana naye akaja,akaenda kulipa,akaambiwa network mbaya hivyo tuingie tukalipie makao makuu ya Ngorongoro!wakati huyu mwenye kadi yake alipaswa kurudia tu pale getini,yaani nilijuta kwenda huko
Mkuu acha kabisa Bora Wewe ulienda camp ambazo zipo karibu na uduma za kibank au malipo.... Hiyo niliyoenda unaacha barabara kubwa unaingia ndani 5km unakutana na geti kuna jamaa wa mabakabaka... Jamaaa alichukua doc akazisoma zaidi YA 15min kama vile anamashaka na Sisi tulikuwa na privt car... Ila wazungu walikuwa wakifika hata dakika 5 ni nyingi wanaachiliwa waingie... Yaaan Sisi ngozi nyeusi tumelaaaniwa atudhaminiani kabisa... Hata wahudumu wa kule ndani YA lodge wanadhamini ngozi nyeupe Sana.... Ila tuache utani kwenda porini ni gharama kuliko kwenda south Africa kupumzika.....
 
Acha kabisa mkuu!
 
Nasikitikaga sanaaa utakuta mtu masikini ametoa mchango kufanikisha harusi ya Joti, katoa kwenye kamtaji kake ka nyanya, karoti na vitunguu kama wale wanaopanga pale stand Mbezi jioni. Alafu yeye yupo kula honeymoon,, kweli masikini rafiki yake tajiri tuu
 
sijui kwanini,karibia kila kitu anacho fanya joti nahisi kama ni comedy...lol.

pongezi nyingi sana kwake na kwa mke wake kwa kuamua kwenda kulia fungate yao mbugani badala ya kwenda kwenye mahoteli maarufu jijini dar es salaam au Zanzibar.
 
Mkuu acha kabisa Bora Wewe ulienda camp ambazo zipo karibu na uduma za kibank au malipo.... Hiyo niliyoenda unaacha barabara kubwa unaingia ndani 5km unakutana na geti kuna jamaa wa mabakabaka... Jamaaa alichukua doc akazisoma zaidi YA 15min kama vile anamashaka na Sisi tulikuwa na privt car... Ila wazungu walikuwa wakifika hata dakika 5 ni nyingi wanaachiliwa waingie... Yaaan Sisi ngozi nyeusi tumelaaaniwa atudhaminiani kabisa... Hata wahudumu wa kule ndani YA lodge wanadhamini ngozi nyeupe Sana.... Ila tuache utani kwenda porini ni gharama kuliko kwenda south Africa kupumzika.....
Daah mi nashukuru nilibahatika kishule shule kwenda Ngorongoro, Serengeti na Manyara...

Na ule utoto sikujua kama kuna usumbufu huu mnaousema!
 
Mkuu zile za kishule au zile za Offer ya Ncca kwa basi lao hazina thrilling yoyote!! Ndiyo maana hata wao huwa hawahangaiki nazo,kwanza mnakimbizwa kama mwenge wa uhuru!!hakuna kushuka popote hata getini! Shida ni hizi za kifamilia! Muwe wawili/watatu na kigari chenu binafsi Ndiyo mtanyooka!
 
Last week nilikuwa huko mzee!! Kuna utaratibu wa malipo wa hovyo kuliko kidnapping ransom!! Na kikubwa nilichogundua kwa haraka ni kuwa ukienda huko wewe Mtanzania unaonekana kama kero!! Kuanzia geti la kuingilia ngorongoro unaanza "kubaguliwa" in case of any misunderstanding jamaa hawatoi ushirikiano kwa "Mzawa" sana sana watakupiga maneno mabaya mabaya hadi ujute kupoteza fedha yako kwenda kuvuna fadhaa!! Niliwahi kuingia maasai mara kenya! Kweli nili enjoy!! Hapa kuna ujinga mwingi! Kwanza ni lazima ulipie kwa Visa card au mastercard tu!! Kama huna hivyo unageuzwa dili! Hivi watanzania wangapi wana hizo card?kero ni nyingi mno hasa ukienda na gari lako binafsi----
Hapo kwenye master card na visa card ni kasheshe lkn ni kwa mbuga za TANAPA tu zingine unalipa hata cash kama mikumi n.k. Wakati umefika hata mitandao ya simu itumike kama wanaogopa kuibiwa cash huko porini. Kumbe tunakataa wenyewe fedha halafu tunalalamikia wananchi hawaendi mbugani.
 
Aisee nimeingiwa na uwoga mkubwa sana, nilitaka kwenda huko na malaya wangu kumbe ndio kunasumbua hivo halaf promo nyingi kuweni wazalendo mkatembee mbuga
Labda utafute gari la wanafunzi wanaokwenda uende nao,inaweza kukupunguzia usumbufu kidogo!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu zile za kishule au zile za Offer ya Ncca kwa basi lao hazina thrilling yoyote!! Ndiyo maana hata wao huwa hawahangaiki nazo,kwanza mnakimbizwa kama mwenge wa uhuru!!hakuna kushuka popote hata getini! Shida ni hizi za kifamilia! Muwe wawili/watatu na kigari chenu binafsi Ndiyo mtanyooka!
Yaaan na kweli tu...full kukimbizwa kimbizwa daah

At least Manyara niliinjoi kidogo
 
Nchi yangu Tanzanian pahala pekee unapoweza kuwaona wanayama wakiwa kwenye mazingira yao asili kama ulivyokuwa mpango wa Mwenyezi Mungu alipoiumba dunia
 
Wasimamiz na guider wa mbugani wafundishwe kuondoa ule ushamba wa kuonesha dhalau kwa wazawa kisha wataona jinsi mbuga zitakavyofurika wabongo,
Kama hawatak waondolewe wawekwe wapya, kingwangala nakuaminia mkuu kama unapita hapa kuna dr. Mwaka mwingine kwenye mbuga zetu
 
Mkuu acha kabisa Bora Wewe ulienda camp ambazo zipo karibu na uduma za kibank au malipo.... Hiyo niliyoenda unaacha barabara kubwa unaingia ndani 5km unakutana na geti kuna jamaa wa mabakabaka... Jamaaa alichukua doc akazisoma zaidi YA 15min kama vile anamashaka na Sisi tulikuwa na privt car... Ila wazungu walikuwa wakifika hata dakika 5 ni nyingi wanaachiliwa waingie... Yaaan Sisi ngozi nyeusi tumelaaaniwa atudhaminiani kabisa... Hata wahudumu wa kule ndani YA lodge wanadhamini ngozi nyeupe Sana.... Ila tuache utani kwenda porini ni gharama kuliko kwenda south Africa kupumzika.....
Kuna nini huko swala na tembo# mi nilienda ka mikumi tu hapakuwa na usumbufu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom