Joti wa Ze Komedi

Uporoto01 jamaa nilikuwa namjibu inbox anag'ang'ania mbaya,ila si unajua watu wanazusha tu
 
 
Last edited by a moderator:
Uporoto01 jamaa nilikuwa namjibu inbox anag'ang'ania mbaya,ila si unajua watu wanazusha tu
Mkuu katika top 10 iliyotajwa na hao kina dada ukimwacha Joti pia kuna Masanja mkandamizaji-walidai nae anajitahidi lol! na Mrisho Ngassa wengine siwakumbuki.
 
Mkuu katika top 10 iliyotajwa na hao kina dada ukimwacha Joti pia kuna Masanja mkandamizaji-walidai nae anajitahidi lol! na Mrisho Ngassa wengine siwakumbuki.
mkuu mi nilishaambiwa hata hussein machozi,alikiba nao bdo hvo,ila siwezi kuamini,si unajua maisha ya watu kama hawajajitambulisha lazima uwe kimya
 
Usimopakazie mwenzako joti ana mke na mtoto na sio bwabwa nenda kaulize gongo la mboto,masanja nae ana nyumba kigamboni,mpoki nae ana nyumba kgambon na maeneo ya temeke
 
Jaman achen uzushi nyie watu.kama hujui maisha ya mtu ts beta ukae kimya.niliwah kumsikia Joti Clouds fm akihojiwa akasema ana girlfrnd na mtoto mmoja wa kike.sasa mnaomzushia achen mambo yenu hayo.

Wakikaa kimya watayajuaje?they must be inquisitive bana,ukizingatia Joti kwa kiasi flani alisaidia kuwahadaa wananchi last election wakampigia kura JK ambaye uwezo wake umeonekana kudidimia day after day
 
Jamaa mu england na mmiliki kampuni ya home shop.. Cnter mwarabu mzamini wao ndio anamkameron.
 
Joti ni kinara tu kwa kila anachoigiza,akiwa mtt utapenda,msichana utapenda,babu ndio usiseme,chakaramo pia,kuhusu kuoa au kutokuoa,kumuona na demu au kutomuona na dem ndio iwe kigezo cha kuliwa au ushoga duh hii ni ngumu muno,kuna mwenyekiti wa chama fulani na ni prof sijui kama anae mke,sasa na yeye unamjudge vp?ni maoni tu msijenge chuki
 
Kuwa mbongo ni mzigo mzito sana.
 
Joti namkubali katika kila engo zake za uigizaji. Kijana anajitahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…