Max or Min na kwa idadi gani ya mayai?37°C
Humidity 65
Mkuu likiwa 38.5?kuna shida,?37°C
Humidity 65
Hakuna shida,kwa sababu feni italimoderate baada ya variation kutokeaMkuu likiwa 38.5?kuna shida,?
Minimum,pia ukiona limepanda siyo mbaya kama limeshuka ongeza maji kwenye water troughMax or Min na kwa idadi gani ya mayai?
Hakuna shida? MhHakuna shida,kwa sababu feni italimoderate baada ya variation kutokea
Mm joto niliweka 37.8 na humidity 63 kwasiku ya 1_18 na siku ya 18_21 joto nimeweka 36.5 na unyevu 70 je nipo sahihi? Naomba ushauli wakoKwa siku kumi na nane za mwanzo joto linatakiwa kuwa 37.5 na unyevu unyevu unatakiwa kuwa kati ya 50-60%..
Na siku tatu za mwisho yaani siku ya 19-21 joto lishushwe mpaka 36.5 na unyevu unyevu unatakiwa kuongezeka hadi 60-70%..