Joto Hasira Lady Jay Dee- Video

Joto Hasira Lady Jay Dee- Video

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Wimbo mzuri,wimbo mzuri kama huu sidhani kama hata wafu FM wanaweza kuzuia usihit,kitu kizuri lazima ikubalike tu hata kama wenye maslahi watapinga.
Huu wimbo Proffesor kaonyesha anajua,level za Proffesor zipo juu kiasi kwamba naona kamfunika hata Lady Jay dee.

Wimbo mzuri sijui kama kuna wenye maoni hasi.

Last edited by a moderator:
tushachoka na story za jide naomba tufunge mjadala adi pale habari mpya itakapotokea. nishachoka
 
tushachoka na story za jide naomba tufunge mjadala adi pale habari mpya itakapotokea. nishachoka

Matumizi mabaya ya nafsi kaka,utasemaje tumechoka??,si useme umechoka wewe,na ukichoka wewe sio lazima wengine pia wachoke,we pita sepa kimya kimya kuliko kuboa watu
 
Matumizi mabaya ya nafsi kaka,utasemaje tumechoka??,si useme umechoka wewe,na ukichoka wewe sio lazima wengine pia wachoke,we pita sepa kimya kimya kuliko kuboa watu

umejuaje kama ni ke au me?
 
Back
Top Bottom