Maji mengi safi na salamaHii joto tusisahau kunywa maji mengi..
Hahahah Ulitaka wafunge feni barabaraniJoto lote hili halafu serikali ipo tu.
Serikali ya wanyonge,😀 maisha yanatupiga jua nalo linatupiga.Hahahah Ulitaka wafunge feni barabarani
😂😂😂Joto lote hili halafu serikali ipo tu.
mi 5 tena ni kasi ya awamu ya tano, kama vp serikali itoe tamko, au waandaliwe wale wakushukuru kwamba ni juhudi ya awamu ya 5Hii hali ya joto haivumiliki;
Na usiombe msoto huu wa joto uambatane na njaa au mafua makali.
Unaweza kuwa kichaa hivihivi!!!
Na ndiyo maana ukiangalia takwimu za polisi, matukio ya kikatili ni mengi sana kipindi cha joto na report za ndoa kuvunjika ni kubwa sana!
hili joto tunalitumia kukuza uchumi kwa kuuza maji au nasema uongo ndugu zanguuuJoto lote hili halafu serikali ipo tu.
Hapo kwenye ukichaa hapo nikikonect na Mh alieshindwa kuapa hili joto litatuua kwa kweli[emoji848]Hii hali ya joto haivumiliki;
Na usiombe msoto huu wa joto uambatane na njaa au mafua makali.
Unaweza kuwa kichaa hivihivi!!!
Na ndiyo maana ukiangalia takwimu za polisi, matukio ya kikatili ni mengi sana kipindi cha joto na report za ndoa kuvunjika ni kubwa sana!
Duh we jamaa kumbuka maji yana hesabu zakeJana nilikunywa ndo kubwa ya. Maji, nahisi leo ntamaliza ndoo mbili