Joto la mafanikio ya Serikali ya Magufuli laanza kuigwa na nchi zingine

Joto la mafanikio ya Serikali ya Magufuli laanza kuigwa na nchi zingine

Wee bwege Ndege kwako ndio Maendeleo?

Watanzania hawapiti 5% tu ndio watumiaji wa usafiri wa Ndege, kichwa chako kizima wewe?

Si bora hata angeshugulika na tatizo moja tu la MAJI lililotamalaki mijini na vijijini kwenye Nchi nzima angekuwa amefanya la maana..?!

Endelea kutumia masaburi yako kufikiri.
Mkuu jaribu kuzipanda hizo ndege. Halafu urudi humu urudie hayo uliyoyaandika.
 
Mafanikio ya nchi yetu na mabadiliko katika hali ya kubadi;lisha mambo na utendaji wa mambo na hasa KASI ya Rais Magufuli katika kuleta MAENDELEO, imeanza kuigwa hata na jirani zetu.
Tayari nchi ya Uganda imeamua kufuata mkondo wa Tanzania katika kuliamsha shirika la ndege la Uganda kwa kununua ndege 6 KWA MKUPUO ambazo zitakuja kwa awamu. Ndege nne aina ya Bombadier CRJ 900 ZITATANGULIA.

Zikifuatwa na ndege kubwa aina ya A 300-200 { Air bus}
Hii inatufanya watanzania tujivune kidogo kwamba juhudi za za Magufuli si za bure. Japokuwa NABII hapati heshima nyumbabni kwake.

Wengi wamesema mengi sana kuhusu ndege zetu. Sijui sasa watasema nini?
Jamani hili ni jambo ambalo kila Mtazania mpenda maendeleo ni lazima alifurahie.
Maana joto la Magufuli laanza kuwa felt na kuigwa UKANDANI.

Pia nchi ya jirani yetu kaskazini nao wameanza mpango wa kununua MABASI ya MWENDO kasi.
Tayari inasemekana barabara zimetengwa rasmikwa ajili ya majaribio ya mabasi kama yetu.
Je wana jamvi hatuoni kuwa nasi TUNAIGWA tufurahi?
Tanzania hoyeeee!!

"Don't say we didn't warn you"
 
hoyeeeeeeee, tuendelee tu kusonga mbele na MUNGU atubariki tuwe mfano wa kuigwa na nchi zingine.
 
Kagame yuko sawa hana tatizo mkuu. Ama tuambie.
Educator, Author & Professor of International Development, based in Toronto, Canada [emoji1063]
May 17

RwandAir Bankrupting Rwanda
Open Letter To Presidents Yoweri Museveni And John Magufuli

Excellencies:
It is widely reported that you want to establish and expand your national airlines. Apparently, Uganda is set to relaunch Uganda Airlines in November 2018 which ceased to operate in 2001. My unsolicited advice to you is that you should seriously consider other options before you invest heavily in a national airline. Building a successful airline is easier said than done.[emoji621][emoji621][emoji621][emoji1540][emoji1550]‍♂
 
upload_2018-5-23_16-57-33.png
 
That could not be further from the truth. However those advises are misplaced. And to be precise not in TANZANIA and by extension Rwanda.
Not everything that is said from somewhere in the WEST is the GOSPEL TRUTH.!!!
 
Tuambiwe mara ngapi kuwa sasa ni zamu ya sisi kutembea kifua mbele.
 
Back
Top Bottom