Mkuu jaribu kuzipanda hizo ndege. Halafu urudi humu urudie hayo uliyoyaandika.Wee bwege Ndege kwako ndio Maendeleo?
Watanzania hawapiti 5% tu ndio watumiaji wa usafiri wa Ndege, kichwa chako kizima wewe?
Si bora hata angeshugulika na tatizo moja tu la MAJI lililotamalaki mijini na vijijini kwenye Nchi nzima angekuwa amefanya la maana..?!
Endelea kutumia masaburi yako kufikiri.
Ndio ni maendeleoTeh! Kwa hiyo kununua ndege ni maendeleo?!
Sawa.
Mafanikio ya nchi yetu na mabadiliko katika hali ya kubadi;lisha mambo na utendaji wa mambo na hasa KASI ya Rais Magufuli katika kuleta MAENDELEO, imeanza kuigwa hata na jirani zetu.
Tayari nchi ya Uganda imeamua kufuata mkondo wa Tanzania katika kuliamsha shirika la ndege la Uganda kwa kununua ndege 6 KWA MKUPUO ambazo zitakuja kwa awamu. Ndege nne aina ya Bombadier CRJ 900 ZITATANGULIA.
Zikifuatwa na ndege kubwa aina ya A 300-200 { Air bus}
Hii inatufanya watanzania tujivune kidogo kwamba juhudi za za Magufuli si za bure. Japokuwa NABII hapati heshima nyumbabni kwake.
Wengi wamesema mengi sana kuhusu ndege zetu. Sijui sasa watasema nini?
Jamani hili ni jambo ambalo kila Mtazania mpenda maendeleo ni lazima alifurahie.
Maana joto la Magufuli laanza kuwa felt na kuigwa UKANDANI.
Pia nchi ya jirani yetu kaskazini nao wameanza mpango wa kununua MABASI ya MWENDO kasi.
Tayari inasemekana barabara zimetengwa rasmikwa ajili ya majaribio ya mabasi kama yetu.
Je wana jamvi hatuoni kuwa nasi TUNAIGWA tufurahi?
Tanzania hoyeeee!!
RwandAir Bankrupting Rwanda – David Himbara – MediumKagame yuko sawa hana tatizo mkuu. Ama tuambie.
Educator, Author & Professor of International Development, based in Toronto, Canada [emoji1063]Kagame yuko sawa hana tatizo mkuu. Ama tuambie.
That could not be further from the truth. However those advises are misplaced. And to be precise not in TANZANIA and by extension Rwanda.Educator, Author & Professor of International Development, based in Toronto, Canada [emoji1063]
May 17
RwandAir Bankrupting Rwanda
Open Letter To Presidents Yoweri Museveni And John Magufuli
Excellencies:
It is widely reported that you want to establish and expand your national airlines. Apparently, Uganda is set to relaunch Uganda Airlines in November 2018 which ceased to operate in 2001. My unsolicited advice to you is that you should seriously consider other options before you invest heavily in a national airline. Building a successful airline is easier said than done.[emoji621][emoji621][emoji621][emoji1540][emoji1550]♂
RwandAir Bankrupting Rwanda – David Himbara – Medium
Warn us on what in particular to be precise?"Don't say we didn't warn you"
Mkuu usisumbuke na huyo mbumbumbu wa maisha anakupotezea energy yako tu!!Kwani huoni mikaklati ya maji inavyoshughulikiwa?
Kwani unaishi wapi wewe?
Naona huoni.
Kutokuelewa ni tatizo sana.Mkuu usisumbuke na huyo mbumbumbu wa maisha anakupotezea energy yako tu!!
Ni lazima izame mawazoni mwetu.Tuambiwe mara ngapi kuwa sasa ni zamu ya sisi kutembea kifua mbele.
Usiilalie mlango wazi?Bahati ya mwenzio…………….!