Kaka Mwanakijiji, kwanza nakusifu kwa riwaya yako nzuri, fupi na ya kuelimisha.Katika riwaya hii msomaji anaelezwa kuhusu kitu Love on First Sight kati ya huyu Mama/Dada na yule Mwanamme/Kaka, ujasiri wa huyu Mama kuchukua /kukodi chumba cha hoteli ili wapate privacy, kufanya oral sex bila kinga na baadaye kufanya penetrative sex boila kinga!! Hata hivyo baadaye bnaona huyu Mama/Dada alijawa majuto kwa alichofanya ikiwa ni pamoja na kusaliti ndoa yake. Kwa miujiza ya muumbaji, familia inayoishi? huko Mbagala inakwenda sali Magomeni na huyo Mama kufunuliwa kuwa aliyezini naye ni Mchungaji. Ujumbe ni kwamba, tuheshimu ndoa zetu, tusimwamini yeyote!! Asante kaka Mwanakijiji, nina imani ukiendelea na utunzi huu utampiku Shigongo na baadaye hata mama Agatha Christie!!!