Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Jamani my lulu hebu stuka.Hwa madenti ndio wenyewe kwenye hizi engo.ebu niambie kuhusu mabibo hosteli? sio ndo hao wanaotoka Loleza.ni basi tu mchungaji alimpagawisha ndio maana siku ya pili alipigiwa simu hakupokea.My dia yule IGP alitolewa nje coz alikuwa nasoma so na unajua loleza ni madem tu zen full msimamo,alijua akikubali tu no xul
Jamani mashemeji zangu wanakukwaza nini? ikizingatia sio 'mchungaji' ni kwayamasta tu.
na hii hatari ipo kotekote hasa hotelini.
Hiyo story ni nzuri lakini jaribu kubadilisha ending... manake ilikuwa haina haja huyo mama apotoze fahamu...
Jamani my lulu hebu stuka.Hwa madenti ndio wenyewe kwenye hizi engo.ebu niambie kuhusu mabibo hosteli? sio ndo hao wanaotoka Loleza.ni basi tu mchungaji alimpagawisha ndio maana siku ya pili alipigiwa simu hakupokea.
hahaaa, kama Kaizer ukisomea vidole unakuwa fasta!!! Nshamaliza!!! ooooh mayasaaa, mama mayasaaaaa duh!!!
afu wewe jana si ndo uliniambia nsilale mapema, ona sasa!!!!
Mama umesema yote na nakuunga mkono mia kwa mia. Yaelekea wewe ni bingwa wa kufupisha story ya maneno elfu moja kuwa mia moja na ujumbe kubaki uleule, hongera kwako na kwa Mwanakijiji kwa pamoja.Kaka Mwanakijiji, kwanza nakusifu kwa riwaya yako nzuri, fupi na ya kuelimisha.Katika riwaya hii msomaji anaelezwa kuhusu kitu Love on First Sight kati ya huyu Mama/Dada na yule Mwanamme/Kaka, ujasiri wa huyu Mama kuchukua /kukodi chumba cha hoteli ili wapate privacy, kufanya oral sex bila kinga na baadaye kufanya penetrative sex boila kinga!! Hata hivyo baadaye bnaona huyu Mama/Dada alijawa majuto kwa alichofanya ikiwa ni pamoja na kusaliti ndoa yake. Kwa miujiza ya muumbaji, familia inayoishi? huko Mbagala inakwenda sali Magomeni na huyo Mama kufunuliwa kuwa aliyezini naye ni Mchungaji. Ujumbe ni kwamba, tuheshimu ndoa zetu, tusimwamini yeyote!! Asante kaka Mwanakijiji, nina imani ukiendelea na utunzi huu utampiku Shigongo na baadaye hata mama Agatha Christie!!!
Hehehe! Hommie bana! Twende kazi😀😀😀hivo alivovipewa USALULE, kisha kukuta kuwa ndo mchungaji, asipoteze fahamu nii nini na yeye alikuwa amelelewa 'kimaadili'? LOL
bado kukumbana na hayo eeh Noname...
MMK anamchumba uchagani? Hii inahitaji sredi! wachaga wanajua kukamata watu!Kawaonea wachagga, mi najua ana mchumba kule ngoja tutie fitna yeye ndo alale njaa luv😀
Hehehehe! Mbavu zangu..........!mi nadhani pia alipata kizunguzungu sababu alishapata mimba ya yule mskaji sina jina. so alipomuona tu na kitoto kikacheza huko tumboni hadi akafeel dizy mazee au?
Mwenzio kazi ninayo.Ananifanya mie mayasa eti!ina maana biggy huwaamini ndugu zako eeeh!!!! kwani Charity yeye ni mayasa??
Na bado na bado nimesema bado!MMK anamchumba uchagani? Hii inahitaji sredi! wachaga wanajua kukamata watu!
Mwenzio kazi ninayo.Ananifanya mie mayasa eti!
Jamani my lulu hebu stuka.Hwa madenti ndio wenyewe kwenye hizi engo.ebu niambie kuhusu mabibo hosteli? sio ndo hao wanaotoka Loleza.ni basi tu mchungaji alimpagawisha ndio maana siku ya pili alipigiwa simu hakupokea.
hivo alivovipewa hoteli Usambara, kisha kukuta kuwa ndo mchungaji, asipoteze fahamu nii nini na yeye alikuwa amelelewa 'kimaadili'? LOL
bado kukumbana na hayo eeh Noname...
Haahahahahahaaaa.Mimi na wewe katika shida na raha.Na usijali mimi ndio nitakununulia PRADO lakni usiwe kama 'Mchungaji'.Ila utanisamehe Mayasa wangu. Sina hela ya RAV4. Utakamata tukutuku badala yake.
Njoo nikuombee usikutane nayo.........what was she expecting ? giving herself to a totally stranger? hahaa stupid dumb...
Hapana mie sijakumbana na hayo.. duh! kasheshe...God forbid man...
Mwenzio kazi ninayo.Ananifanya mie mayasa eti!
Ila utanisamehe Mayasa wangu. Sina hela ya RAV4. Utakamata tukutuku badala yake.
He! Haya bana...............😡Haahahahahahaaaa.Mimi na wewe katika shida na raha.Na usijali mimi ndio nitakununulia PRADO lakini uwe kama 'Mchungaji'.