Njoo nikuombee usikutane nayo.........
Utaleta thread hapa ya kuomba ushauri.
an wivu sana huyu Biggy, anatamani ungekuwa mkanda afungie sarawili yake.....
aaaah bana pickup basi si unajua kule mlimani hii ni muhimu ukizingatia ujasiria mali wa Charity!!!
aaaah bana pickup basi si unajua kule mlimani hii ni muhimu ukizingatia ujasiria mali wa Charity!!!
Haahahahahahaaaa.Mimi na wewe katika shida na raha.Na usijali mimi ndio nitakununulia PRADO lakni usiwe kama 'Mchungaji'.
Hapa kwenye Mbege utanisamehe.kwani wachaga wanaijua biashara moja tu ya bar? hawana idea nyingine za biashara?Hehehe! Bila wivu atajuaje kama kweli nampenda?
Anaweza kuendesha stauti ikiwa na pipa kumi za mbege?
what was she expecting ? giving herself to a totally stranger? hahaa stupid dumb...
Hapana mie sijakumbana na hayo.. duh! kasheshe...God forbid man...
Hivi hommie mpaka umwambie yoye haya?Ilitokea tu...spontaneous....and dont you try and deny this..it can happen to you as well LOL,
and, u r right, she just gave herself...totally and completely..to NOT a stranger but a MAN....
Ilitokea tu...spontaneous....and dont you try and deny this..it can happen to you as well LOL,
and, u r right, she just gave herself...totally and completely..to NOT a stranger but a MAN....
* * *
Mume wangu hakuwa na safari yoyote wiki ile ya pasaka, hivyo nilifurahi kuwa naye nyumbani. Pasaka tulienda kwenye kanisa la Kilutheri la Magomeni kwenye ibada ya tatu. Wakati ibada inaanza mwinjilisti alituambia kuwa ibada inaongozwa na Mchungaji Dr. Elibariki Swai toka Moshi.
.
Hommie si unaona huu uchokozi?Kweli hakuwa stranger.wote wawili MAYASA na Baba Mchungaji wote ni WACHAGA wa Mkuu ROMBO.
Njoo nikuombee usikutane nayo.........
Utaleta thread hapa ya kuomba ushauri.
Sasa ntakuombeaje wakati bado hujafumba macho?si uniombee tuu jamani mpaka nije huko!!! haya anza kuomba
Sio uchokozi.Ni mtunzi ndio kasema wote ni wachaga mwingine Elibariki Swai na huyo mwanadada ni Mayasa..... labda Mayasa Elirehema Temu.....Hommie si unaona huu uchokozi?
ilitokea lakini she should expect that handsome man with nice teeth could be anyone.... mchungaji au shekhe... au mafia...Ilitokea tu...spontaneous....and dont you try and deny this..it can happen to you as well LOL,
and, u r right, she just gave herself...totally and completely..to NOT a stranger but a MAN....
Hommie si unaona huu uchokozi?
Hivi hommie mpaka umwambie yoye haya?
Ukimwambia LOGISTICS hakuelewi au?
naona kumekucha!ππ
pamoja na kwaresma GESTI ZINAJAA
Well noted!hommie nimeona, unajua tena mapenzi kikohozi, ndo imeshindikana kuyaficha....π
Kwaresma gesti wamepunguza bei!naona kumekucha!ππ
pamoja na kwaresma GESTI ZINAJAA
Hahaha! Na kwa hapo nakuaminia.kwani anaijua usalule au? ndo maana nika do ze nidifulπ
nipo ndugu yangu!mkoloni ananifanya kitu mbayaupo?
ilitokea lakini she should expect that handsome man with nice teeth could be anyone.... mchungaji au shekhe... au mafia...
I said GOD FORBID MAN... π usianze kuniombea bana... haha yani watu humu wachokozi sana