Kuvaa nguo nyepesi inaweza isiwe vizuri kwa mila na desturi zetuHabari wadau.
Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana.
Tips muhimu za kuishi maisha ya hali hii ya joto ni pamoja na;
1. kunywa maji na vimiminika kwa wingi
2. Kuepuka kukaa kwenye jua moja kwa moja
3. Kuvaa nguo nyepesi
Hope TMA wataliongelea hili and hope hizotips zimesaidia
View attachment 2858039
Matajiri hawalii joto kali ,Nyie wengine endeleeni kuteseka DarHabari wadau.
Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana.
Tips muhimu za kuishi maisha ya hali hii ya joto ni pamoja na;
1. kunywa maji na vimiminika kwa wingi
2. Kuepuka kukaa kwenye jua moja kwa moja
3. Kuvaa nguo nyepesi
Hope TMA wataliongelea hili and hope hizotips zimesaidia
View attachment 2858039
Mimi nilidhan shida iko kwenye hii nyumba mpya niliyohamia maana hata mvua inyeshe bado kuna joto.Habari wadau.
Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana.
Tips muhimu za kuishi maisha ya hali hii ya joto ni pamoja na;
1. kunywa maji na vimiminika kwa wingi
2. Kuepuka kukaa kwenye jua moja kwa moja
3. Kuvaa nguo nyepesi
Hope TMA wataliongelea hili and hope hizotips zimesaidia
View attachment 2858039
Miaka ya myuma mwezi huu haukupaswa kuwa na jotoMimi nilidhan shida iko kwenye hii nyumba mpya niliyohamia maana hata mvua inyeshe bado kuna joto.
Yani sasa hivi natumia unit almost 5 hadi 6 kwa siku maana mafeni na AC ndani ya nyumba zinawashwa muda mrefu.
Kumbe hata kwa wengine hivyo hivyo.
Kwa kweli hili joto ni balaa na sasa ilipaswa walau kuwepo baridi kidogo
Huwezi washa fan na AC ukatumia unit 6 kwa siku. Huna AC dogo. Acha mbwembwe.Mimi nilidhan shida iko kwenye hii nyumba mpya niliyohamia maana hata mvua inyeshe bado kuna joto.
Yani sasa hivi natumia unit almost 5 hadi 6 kwa siku maana mafeni na AC ndani ya nyumba zinawashwa muda mrefu.
Kumbe hata kwa wengine hivyo hivyo.
Kwa kweli hili joto ni balaa na sasa ilipaswa walau kuwepo baridi kidogo
Sasa ikifika kipindi cha joto si ndio balaa mara mbiliMiaka ya myuma mwezi huu haukupaswa kuwa na joto
Vyumba vitatu AC tatu, sebulen feni tatu plus friji. Nyumba niliyotoka nilikuwa natumia unit 3 tu kwa siku.Huwezi washa fan na AC ukatumia unit 6 kwa siku. Huna AC dogo. Acha mbwembwe.
Nakukatalia.Vyumba vitatu AC tatu, sebulen feni tatu plus friji. Nyumba niliyotoka nilikuwa natumia unit 3 tu kwa siku.
Ukiamua kubisha bisha tu ni haki yako
Mkuu unit 5 mpaka 6, yaani una mafriji, mafeni, ac bado unatumia unit 5, bado haujapiga pasi, na matumizi mengine, Mbona naona kama unatumia umeme wa bei rahisi mzee?Mimi nilidhan shida iko kwenye hii nyumba mpya niliyohamia maana hata mvua inyeshe bado kuna joto.
Yani sasa hivi natumia unit almost 5 hadi 6 kwa siku maana mafeni na AC ndani ya nyumba zinawashwa muda mrefu.
Kumbe hata kwa wengine hivyo hivyo.
Kwa kweli hili joto ni balaa na sasa ilipaswa walau kuwepo baridi kidogo
Aahh.. Mkuu, masihara hayo ndugu yangu, hizo ac unawasha kwa dk ngapi mzee?Vyumba vitatu AC tatu, sebulen feni tatu plus friji. Nyumba niliyotoka nilikuwa natumia unit 3 tu kwa siku.
Ukiamua kubisha bisha tu ni haki yako
Kukataa ni haki yako. Mimi naweka umeme wa 10000 ambazo kama si mwanzo wa mwezi ni unit 28, zinakaa siku 5 hadi 6 tuNakukatalia.