Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Noma sana. Mimi nlipokuwa natafta nyumba nikakuta hii nyumba ina ac na feni kila chumba na budget iko ndani ya budget nikafurahi ila sasa naona haya masuala ya umeme yanafanya matumizi yangu yaongezeke.
Mkuu mimi sijawahi tumia zaidi ya unit 3 toka nimeanza kuishi sema pia kipindi hicho sikuwa na familia kubwa.
Mkuu,
Hizo units tatu kwa siku unakuwa na vifaa gani? Yaani natamani kupata uzoefu wako, 3units kwa siku unakuwa na vitu gani?
 
Hali ya hewa imekuwa balaa, usipoangalia una~faint, mambo yakiwa magumu kabisa na uwezo wa ac huna, kuna hivi vitakusaidia walau kupunguza tatizo👇
 

Attachments

  • Screenshot_20231227_112942_Facebook.jpg
    Screenshot_20231227_112942_Facebook.jpg
    21.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom