Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Kukataa ni haki yako. Mimi naweka umeme wa 10000 ambazo kama si mwanzo wa mwezi ni unit 28, zinakaa siku 5 hadi 6 tu
una utani sana we dogo, Nimekaa nyumba tofauti, Zenye AC Kuwasha AC moja ya sebuleni kwa siku kuanzia saa moja hadi saa nne usiku inabonda umeme wa 30000 kiulaini kabisa, Hiyo ni AC moja, siku Moja Una utani khaaa!
 
Habari wadau.
Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana.
Tips muhimu za kuishi maisha ya hali hii ya joto ni pamoja na;
1. kunywa maji na vimiminika kwa wingi
2. Kuepuka kukaa kwenye jua moja kwa moja
3. Kuvaa nguo nyepesi
Hope TMA wataliongelea hili and hope hizotips zimesaidia
View attachment 2858039
Mbona cha mtoto hicho. Hapa kwetu ni 35 kwenda mbele
 
Habari wadau.
Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana.
Tips muhimu za kuishi maisha ya hali hii ya joto ni pamoja na;
1. kunywa maji na vimiminika kwa wingi
2. Kuepuka kukaa kwenye jua moja kwa moja
3. Kuvaa nguo nyepesi
Hope TMA wataliongelea hili and hope hizotips zimesaidia
View attachment 2858039
Huku Khartoum tunatembea na 45 afu freshi tu
 
Huku Khartoum tunatembea na 45 afu freshi tu
Kuna ishu ya relative humidity mkuu..Kwa miji ya Pwani kunakuwa na relative humidity kubwa ambayo inazuia mzunguko wa hewa, kwahiyo 35 ya Dar inaweza kuwa sawa na 45 ya Kartoum. Nzega pia huwa wanafikia hii temperature ya 38•C but siyo ishu sana coz kwao wana low RHM.
 
una utani sana we dogo, Nimekaa nyumba tofauti, Zenye AC Kuwasha AC moja ya sebuleni kwa siku kuanzia saa moja hadi saa nne usiku inabonda umeme wa 30000 kiulaini kabisa, Hiyo ni AC moja, siku Moja Una utani khaaa!
Very true
 
Kuvaa nguo nyepesi inaweza isiwe vizuri kwa mila na desturi zetu
Nilikuwa dessert la Uarabuni miaka ya nyuma
Kitu nilichoshangaa pamoja na joto la nyuzi zaidi ya 50
Ila unakuta watu wanaishi kwenye mahema na nguo zao zimeshonwa kwa manyoa ya kondoo
Wanavaa kwenye joto hilo
Niliuliza local hapo wakasema kama unavaa nguo nzito kujikinga na baridi na hivyo hivyo unavaa nguo nzito kujikinga na joto strange but true

Na maji nilikuwa sinywi ni mwendo wa chai tu chunguza kwa nini wanakunywa chai kwenye joto pia
 
Nilikuwa dessert la Uarabuni miaka ya nyuma
Kitu nilichoshaa pamoja na joto la nyuzi zaidi ya 50
Ila unakuta watu wanaishi kwenye mahema na nguo zao zimeshonwa kwa manyoa ya kondoo
Wanavaa kwenye joto hilo
Niliuliza local hapo wakasema kama unavaa nguo nzito kujikonga na baridi na hivyo hivyo unavaa nguo nzito kujikinga na joto strange but true

Na maji nilikuwa sinywi ni mwendo wa chai tu chunguza kwa nini wanakunywa chai kwenye joto pia
Dah ndio maana dawa ya moto ni moto
 
Hivi chumba cha 5 x6m kinahitaji ac ta btu ngapi?
 
Vyumba vitatu AC tatu, sebulen feni tatu plus friji. Nyumba niliyotoka nilikuwa natumia unit 3 tu kwa siku.
Ukiamua kubisha bisha tu ni haki yako
Screenshot_20240101-105258_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom