ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Hiyo ni special case.Mwezini unaendaje?
Navaa magwanda yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni special case.Mwezini unaendaje?
Mateso hayo Sasa.ukiweka maji ya kawaida haina tofauti na feni
maji yawe ya baridi, na kila mda uwe unabadilisha maji kila yakipoa, hapa ndiyo uta enjoy
Idadavue mkuu tujue madhaifu yakehii si air cooler hii ? hii hapana
Huu Ni uongo.Acha uongo dogo, AC moja ndani ya saa kumi na mbili inakata vizuri kabisa unit kuanzia 50 hadi 80 wewe hizo AC umezitoa wapi
JOTO,MAdaladala na wale mbu weusi ni vitu vilivyonifanya nisiwe na hamu ya kukaa daslamuWatu wanaoishi Dar, maisha yao ni ya tabu sana,
Sasa inakuwaje ule muda wa kwenda kula tunda?Ukiona nimevaa nguo hata ya ndani ujue natoka
Tofauti na hapo nakaa ndani kama Hawa kwenye bustani ya Eden
😀, kuishi Dar ni kero iliyo pitiliza, Maisha ya kule, watu ukiwaangalia usoni unaweza dhani wameishiwa maji mwilini.JOTO,MAdaladala na wale mbu weusi ni vitu vilivyonifanya nisiwe na hamu ya kukaa daslamu
Chanika changanyikeni hiyo couple itakuwa ina-experience sawa kwenye suala la joto maana duh 😂😂😂Hapo umetembelewa na demu wako wa chanika mnapigana miti jasho la kwenda, kunguni, mbu & joto
Iyo Ac kilo ngapi. 1 au 2 maana kwa kawaida nikiwasha ac yangu full 24 hrs natumia unit 15 hadi 14 per dayVyumba vitatu AC tatu, sebulen feni tatu plus friji. Nyumba niliyotoka nilikuwa natumia unit 3 tu kwa siku.
Ukiamua kubisha bisha tu ni haki yako
Mi mwenyewe dar sipawezi nataka nijipange mwezi wa sita nirudi mkoanKatika vitu nilivyowahi jichanganya basi ni kuishi dsm yaan korodan zinaumka ngozi utadhani zimechemshwa yaan daa! Nataman kurudi zangu kahama machimboni tatizo raman kule bado hazisomi ni hatariii sana dsm sipawezi
Binafc nilishangaa hiyo AC na fan kwa unit tano,natumia almost unit 4 kwa siku mataa ya nyumba fridge mbili na tv tu na kuchaji cm tu yani nilikua nafikiria kua na AC kama ingekua unatumia kiwangoHuwezi washa fan na AC ukatumia unit 6 kwa siku. Huna AC dogo. Acha mbwembwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3], kuishi Dar ni kero iliyo pitiliza, Maisha ya kule, watu ukiwaangalia usoni unaweza dhani wameishiwa maji mwilini.