Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Nawashangaa sana wanaosema eti miaka ya nyuma December haikuwa na joto. Kuna watu hawako informed kabisa. Hiki ni kipindi cha joto, nyuzi 30-35c ni kawaida kwa mji kama Dar ni wewe kujua namna ya kujikinga na hilo joto.
 
Wewe utakuwa mgeni Dar. Miaka yote joto Dar linakuwa kuanzia December hadi March wiki ya 2 au ya 3 kabla ya mvua za masika kuanza. Generally December, January na February ni miezi ya joto pwani yote ya Tanzania especially Dar
Kuna watu wanaongea vitu wasio na uhakika navyo, eti December haikuwa na joto labda wanazungumzia nchi za magharibi huko USA,UK etc
 
Nawashangaa sana wanaosema eti miaka ya nyuma December haikuwa na joto. Kuna watu hawako informed kabisa. Hiki ni kipindi cha joto, nyuzi 30-35c ni kawaida kwa mji kama Dar ni wewe kujua namna ya kujikinga na hilo joto.

Heri ya mwaka mpya kamanda...
 
Hiyo 41 cha mtoto, ulishawahi kwenda uarabuni! Kuna nchi nyuzi joto inafika 50 na ushee, ndio maana wakija huku wanaona kawaida tu.
 
Wewe utakuwa mgeni Dar. Miaka yote joto Dar linakuwa kuanzia December hadi March wiki ya 2 au ya 3 kabla ya mvua za masika kuanza. Generally December, January na February ni miezi ya joto pwani yote ya Tanzania especially Dar
Hii ni hali ya joto ya December mwaka jana. Ni vyema tukaongea vitu kwa takwimu na siyo hisia.
 
Hii ni kweli kabisa, joto la Dar ni hatari sana jua kinawaka balaa
 
Yaani nilitaka nitafute fundi AC aisee, maana me kwa kawaida nikiwasha AC kwa masaa 4 tu unit 5 mpaka 7 zinakatika
 
Hivi chumba cha 5 x6m kinahitaji ac ta btu ngapi?
1. Kama ukuta wa chumba haupigwi sana na jua na kuchemka. 2. Hukai ghorofani top floor yenye paa la zege tu 3. Uchumi wa kawaida sana, Btu 9000 inatosha. Kinyume chake chukua btu 1200. Hakikisha ni inverter.
 
Inveter ndio kitu gani mazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…