Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Attachments

  • IMG-20231231-WA0058.jpg
    IMG-20231231-WA0058.jpg
    48.9 KB · Views: 4
  • IMG-20231231-WA0058.jpg
    IMG-20231231-WA0058.jpg
    48.9 KB · Views: 4
Hizo tips ni za wenye ukwasi.
Sie ambao ridhiki yetu ipo miguuni mwetu, hili jua tushalizoea .
Hakuna AC
Hakuna vimiminika
Hakuna msosi
Jua linakuchapa utosini
Jasho linakutiririka
Unatembea more than 100km per day.

Mungu ni mwema, anatulinda.
 
Binafc nilishangaa hiyo AC na fan kwa unit tano,natumia almost unit 4 kwa siku mataa ya nyumba fridge mbili na tv tu na kuchaji cm tu yani nilikua nafikiria kua na AC kama ingekua unatumia kiwango
Friji 2 unawasha masaa 24?
 
Huenda ni el nino effect, maana hali ya joto kipindi hiki si kawaida.........na ukichukulia zimenyesha mvua nyingi sana hapo kati, tulitarajia hali ya joto iwe chini sana...........ni muhimu watu waachane na vinywaji vyenye pombe maana pombe inakausha maji mwilini, pia wanywe maji kwa wingi mara kwa mara na wavae nguo nyepesi zisizobana mwili.
 
Hizo tips ni za wenye ukwasi.
Sie ambao ridhiki yetu ipo miguuni mwetu, hili jua tushalizoea .
Hakuna AC
Hakuna vimiminika
Hakuna msosi
Jua linakuchapa utosini
Jasho linakutiririka
Unatembea more than 100km per day.

Mungu ni mwema, anatulinda.
Jifunze kuvaa mawani ya jua asee
 
Kiongozi mimi nimefunga A/C chumbani kwangu nnafeni vyumba vya watoto na friji umeme wa 5000 kwa siku unaisha ambapo ni unit 14 kwa siku sasa huyu ananiambia unit tatu kwa siku ? Aisee maana nimefatilia kama utawasha A/c masaa yote na vitu vingine basi kila lisaa inaweza ikala unit moja
Hii ni kweli kabisa ukiweka AC vyumba 2 lazima utumie umeme wa 300,000 kw mwezi endapo zitawaka masaa 24
 
Dar Lile joto lake ni mateso asee, mm palinishinda nikaamua kurudi zangu kanda ya ziwa, nilipo fika tu chalinze nikapumua angalau na baridi Kali nikaanza kuli feel nilipo fika morogoro nikasema hakika hii ndio nchi sasa achana na Hawa wanao ishi jehanam ndogo.
Duh!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hili joto ni hatari mzee, nashinda bafuni kama chura, kila saa kwenye maji. Maajabu ya sasa ni kila nikitoka kuoga na jasho linatoka hapo hapo.
Ila hili joto linategemea na ww unakaa wapi.. kuna sehemu huku hakuna joto kabisa na ni Dar hii hii..
 
Back
Top Bottom