boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,279
- 310
Hawa warembo wasitutishe hamna lolote, unawaona wako kwenye promosheni ya miller halafu wanalipwa buku ten. hamna kitu hoa
Malipo huwa ni makubaliano kati ya anaetoa na anaenunua, kwa kiasi chochote walichokubaliana kulipana hakituhusu, sisi
1. Tunanafurahia hawa mabinti wazuri kwa asilimia 88.9
2. Wamefanya choice nzuri ya watu waku-promote bia aina ya miller wanafanana na hadhi ya bia
3. Kwa kuwafurahia hawa mabinti tayari tangazo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa
4. Hawa mabinti nao tayari wameji-promote wenyewe
5. Kwa chochote walichokubaliana kulipwa wamelipwa na wamefurahia ndiyo maana pose lao babukubwa
HUREEEEEEEEYI